Maombezi maalumu kwa ajili ya mahusiano ya wana chit chat

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,487
9,496
Eee Baba yetu uliye mahali pa juu palipoinuka, Ninakuja mbele zako kwa moyo wa ukunjufu, ninaukaribisha uwepo wako mahali hapa,ninakaribisha upendo wako mkuu utamalaki katika jukwaa hili, ninaomba roho yako itawale mahali hapa,ninaomba upendo wako ulio mkuu upandikize mbegu ya upendo katika mioyo ya wana chit chat wote na Jf kwa ujumla,Ninakwenda kinyume na nguvu za giza,ninavunjavunja nguvu za mwovu ibilisi, ninaliangamiza pepo la ukuwadi,ninaziangamiza nguvu za mapepo ya kupenda wake na waume za watu, ninavurugavuruga mipango ya kuvunja ndoa za watu, ninakwenda kinyume na pepo la UZUSHI na kuchafua majina ya watu, ninakemea pepo wa tamaa ya pesa na mitoko ya weekend isiyo na tija, ninavunjavunja pepo linalojiinua la kukosekana kwa uaminifu na cheating, ninaua kabisa pepo la talaka na vipigo katika ndoa ASHAGHALABABOSSIKAAALATASAA, Ninaziombea kamati zote ikiwapo yangu ya maombezi ziweze kufanya kazi kwa uaminifu na wepesi, Ninamuombea Mwenyekiti wa tume yetu Baba V, umpe busara katika utekelezaji wa majukumu yake na kuzisimamia kamati zote, umuepushe na chuki binafsi bali atende kazi kwa manufaa ya wote, kwa ukuu wako ninaikabidhi chit chat mikononi mwako. AMEN
 
Last edited by a moderator:

cacico

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
8,362
7,789
kwi kwi kwi kwi!! nakemea pepo la 3some!! uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mautamu, nayaachaje??
 

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Aug 17, 2011
36,577
24,021
Jana nilipendekeza kamati ya maombi na toba iwepo.....Ohhhhh! Glory to God, Glory to God Bwana kasikia maombi yangu na akamsimamisha nabii na mtume Pombekali.
 
Last edited by a moderator:

snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,373
1,007
Aamen to that?tukifungua kila siku kwa maombi itakuwa safi sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

5 Reactions
Reply
Top Bottom