Maofisa wa UN wasimamishwa kazi kwa kufanya ngono kwenye gari la ofisi

Katika video hiyo, mwanamke alikuwa amevalia gauni jekundu alionekana akiwa amemkalia mwanaume katika kiti cha nyuma cha gari.
Kufikia sasa UN imebaini kuwa wanaume hao ni waajiririwa katika taasisi yake ya Kusimamia Kusitishwa kwa Mapigano yaani Truce Supervision Organization (UNTSO).
sasa ilikuwa mwanaume kwa mwanaume au mwanaume kwa mwanamke?

Btw, watu wa haki za binaadamu wako wapi? Kazi na dawa
 
Hao hao UN waliipitisha sex kama basic need ya mwanadam.

Bas hapo vijana walikuwa wanapata basic need yao nisawa na kununua chakula cha takeaway ukaenda kulia kwenye gari
 
Back
Top Bottom