Maofisa wa JWTZ kuhusishwa na fedha za Uswisi ni pigo kubwa sana kwa nchi

hao maofisa watatu ni chief of staff aliyestaafu karibuni, pia chief of staff kipindi cha waitara, na cdf kabla ya waitara

moshe dayan

Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi;
Chief of Staff aliyestaafu hivi karibuni ni Lt.Gen. Shimbo
Chief of Staff kipindi cha Gen. Waitara alikuwa Lt. Gen. Iddi Gahu, na
CDF kabla ya Gen. Waitara alikuwa ni Gen. Mboma
 
Simple homework,
Taja majina ya viongozi wastaafu (maraisi) then wale wenye kashfa za rushwa....
Taja majina ya mawaziri wastaafu pamoja na PM then wale wenye kashfa za rushwa....
Taja majina ya Wabunge wastaafu ......
Taja majina ya mageneral waliostaafu then wale wenye kashfa za rushwa....
Kwa mujibu wa thread hii baba mwenye nyumba aka Vasca Da... HAYUPO.
 
Hakuna Taasisi yenye rushwa kama jeshini. Polisi huwa wanaonewa kwamba kuna rushwa sana ya 10,000 au 20,000. Jeshini rushwa yake ni Milions. Huwezi kupata tender jeshini bila kuonga. Hata kusupply majani ya chai jeshini lazima watu wale.
 
Back
Top Bottom