Usijali mkuu!! Tuendelee tu na mjadala wetu wa JWTZ na wizi wa kutupwa.
kuna brigedia jenerali mmoja anajenga lijumba la kifahari huko oysterbay hua najiulizaga hela katoa wapi haiwezi kua ni hela yake ya kustaafu ndio inamuwezesha kujenga jumba la kifahari hivyo...hawa wanajeshi ogopa...
Tukisema hapa watu wanaanza kutoka mapovu. Kimsingi hakuna ufisadi uliotukuka kama jeshini, ukisia mishahara hewa ndo huko, ukisikia fedha za UN zinapigwa panga kwa ajili ya kununua vifaa wakati hawanunui ndiyo huko, ukisikia fedha za kujikimu kwa wanajeshi hazilipwi lakini kwenye budget zipo ndiyo huko, ukisikia makato ya ajabu ajabu kwenye mishahara ya wanajeshi ndiyo huko. Yaani kuna mengi, ila kwa kuwa wanajiita wenye nchi, we just have to be patients and wait for the principle of natural selection to take place.
unaona eeh! Mimi naona ZZK anatuchanganya tu. Kama ana access ya kupata hayo majina kwanini asichukue maamuzi kama ya Dr.Slaa pale mwembeyanga alipotoa 'list of shame' ambayo imempatia heshima kwa wananchi. Zito anaogopa nini. Kama hana guts za kuyataja majina hayo hana haja ya kutuonyesha kama anajua wakati hawezi kuwa-expose!Wekeni majina yao kuficha haisadii
Lowassa mbona simuoni hapo??list haijakamilika iyo.
unaona eeh! Mimi naona ZZK anatuchanganya tu. Kama ana access ya kupata hayo majina kwanini asichukue maamuzi kama ya Dr.Slaa pale mwembeyanga alipotoa 'list of shame' ambayo imempatia heshima kwa wananchi. Zito anaogopa nini. Kama hana guts za kuyataja majina hayo hana haja ya kutuonyesha kama anajua wakati hawezi kuwa-expose!
Tatizo hakuna wa kumuuliza mwenzake. Hata JK naye inabidi awaendee kimahesabu maana wananguvu achilia mbali naye kuwamo kwenye hayo madili. Cha msingi hii vita ni hatari na inabidi ichezwe kwa kutumia smart people. Mfano mzuri ni juzi juzi ulivyoona JWTZ walivyotinga mitaani kutoa mikwara wakifuatiwa na msemaji wa jeshi, why all those shit while it was just a small group of muslims? Wanaandaa watu kisaikirojia ili wakiamua kulinda mafisadi kusiwepo wa kuanzisha vurugu.Sawa mkuu. Hawa wakubwa wa JWTZ ni wezi sana. Rekodi ya huko kwenye mabenki ya Uswisi inaonyesha kuwa pesa nyingi zilizotoroshwa kipindi cha utawala wa Nyerere zilitoroshwa wakatii wa vita ya TZ na Uganda. Which means kuna mkono wa wakubwa wa JWTZ hapo katika ununuzi wa silaha. Habari za Meremeta and the Co. ni ushahidi mwingine wa wizi wa kupindukia wa wakubwa wa JWTZ.
wataje majina huwajui au nawe unakuwa kama zitto?hao maofisa watatu ni chief of staff aliyestaafu karibuni, pia chief of staff kipindi cha waitara, na cdf kabla ya waitara
moshe dayan
i never doubt your info concerning military issues i'm convinced it's true
unavoandika, unaonekana unatamani zzk asiwe na orodha hiyo upate cha kuchonga. siasa maji taka bwana.T215ZZK....asifanye usanii safari hii lazima atutajie hayo majina isije ikawa ni bra bra za kila siku kila mtu akiibuka nina orodha ya watu fulani,mara majambazi,mara wauza madawa ya kulevya..halafu hamuwataji...plz plz...safari hii tutakuwajibisha mwenyewe msitufanye watanzania ni watu wa kudanganywadanganywa tu kila siku
tatizo itakua ngumu sana hawa watu kushtakiwa kwa sababu pesa hizi ilikua laundered purposely kuisaidia ccm kwenye uchaguzi 2005,,
Hawa mabwana walitumia hyo loophole na wao kujichotea mabilioni.., si unakumbuka post zetu za nyuma kuhusu ile shirika feki la jeshi lililobeba pesa ya EPA??
Now connect the dots.., na hao nlokutajia ndo walikua movers and shakers wa jeshi kipindi watu wanachukua mahela BOT
Moshe Dayan
unavoandika, unaonekana unatamani zzk asiwe na orodha hiyo upate cha kuchonga. siasa maji taka bwana.