Maofisa hawa kwaheri!

kihengela

New Member
Oct 13, 2011
4
1
Nape tunangoja kwa hamu uamuzi wa vikao hivyo, lakini chonde chonde, tumeibiwa sana, tukadhurumiwa sana na hao mafisadi, sasa malizeni suala la kuachana nao, ili tuone na mengine yakifanyiwa kazi!!
 
Kama ni Nape huyu anayejiita mbwa hana jeuri lolote kwa wanaomfuga,labda atokee Nape mwingine,lakini siyo huyu anayepoteza muda wake bure kuuza sura kwenye ma tv
 
Nape hana uwezo wa kumfukuza mtu yeyote ndani ya chama kwakuwa yeye sio chama ni mwanachama.
 
Sijui ni ukame sijui ni njaa.Jaman great thinkers kabla mtu hajaanzisha thread aifanyie tathimin kwanza arudie mara kadhaa kuisoma na kutafakari kama kuna mantiki na mtiririko wa kile anachokikusudia msomaji akielewe. Natanguliza shukurani
 
Wakati mwingine unatakiwa uwe 'wide' na yanayoendelea na kukuzunguka ktk maisha yako. Jiulize mbona wengine wanchangia kitu kile kile ambacho wewe hukielewi? Hapo ujue kuwa ktk hilo, wewe ni mgeni, na hivyo ni vyema ukae kimya tu usubiri wakati wako ufike.
 
Nape tunangoja kwa hamu uamuzi wa vikao hivyo, lakini chonde chonde, tumeibiwa sana, tukadhurumiwa sana na hao mafisadi, sasa malizeni suala la kuachana nao, ili tuone na mengine yakifanyiwa kazi!!

Kaka vipi ?Mkitumwa hapa muwe mnaomba na semina elekezi msije na pupa kama Nape na genge lake.Acheni kumwaga upupu hapa .
 
Nape hana uwezo wa kumfukuza mtu yeyote ndani ya chama kwakuwa yeye sio chama ni mwanachama.

Alipokuwa anazunguka mikoani na slogany ya kujivua gamba na kuwa watawafukuza alikuwa anaongea kama nani? Sasa ahakikishe chama kinawakufuza hao mafisadi wao. Kazi ipo sisiem, waulize habari ya kujivua gamba kama wanakumbuka!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom