Augustoons
JF-Expert Member
- Oct 31, 2007
- 409
- 29
CC
Utadhani bongo peke yake lakini kwingineko duniani kumbe hali inatisha? DHARAVI SLUM INAKADIRIWA KUWA NI SLUM KUBWA KUPITA ZOTE DUNIANI WAKATI,KIBERA SLUM INAONEKANA KUWA NI SLUM KUBWA KUPITA ZOTE AFRIKA,SIJUI MANZESE NI YA NGAPI? NAAM DHARAVI SLUM IPO INDIA.Nchi hii ndiyo inayoongoza kwa mitambo mingi ya nyuklia kwa ukanda wote wa bara Asia,na uchumi wake unakua kwa GDP ya 9.5 lakini maendeleo bado si tawanyifu.
Kwa habari zaidi angalia attachment hapo chini
Kwa habari zaidi angalia attachment hapo chini
