Manyoya huwa yanawavutia mabinti

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2007
Messages
3,448
Points
2,000

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2007
3,448 2,000
Preta, MRoza, RoselynOne na Miss Pirate naona wote hamuelekei kuyapenda hayo magugu-maji ya kifuani! Angalau basi mtoe na sababu tujue kwa nini....
 
Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
24,216
Points
2,000

Preta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
24,216 2,000
Preta, MRoza, RoselynOne na Miss Pirate naona wote hamuelekei kuyapenda hayo magugu-maji ya kifuani! Angalau basi mtoe na sababu tujue kwa nini....
mimi kwa kweli hayo manyoya pamoja na vimzuzu mbuzi.....no....I do a lot of work sasa hayo makitu are getting on ma way.....ndio maana siyapendi pamoja na kitambi inclusive
 
BabaDesi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2007
Messages
3,448
Points
2,000

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2007
3,448 2,000
mimi kwa kweli hayo manyoya pamoja na vimzuzu mbuzi.....no....I do a lot of work sasa hayo makitu are getting on ma way.....ndio maana siyapendi pamoja na kitambi inclusive
...WATOTOO! Nileteeni Track-suit Yangu.....!! :embarrassed1:
 
Joste

Senior Member
Joined
Jun 28, 2009
Messages
117
Points
0

Joste

Senior Member
Joined Jun 28, 2009
117 0
Unajua mtu anavutia kabla ya kuvua nguo. Kwa hiyo garden love has nothing to do with mvuo. Good looks bana ndo inamatter. Si unaona wazee wanaangalia wowowo kwanza kabla ya mambo mengine
 
SMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2008
Messages
8,768
Points
2,000

SMU

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2008
8,768 2,000
Unajua mtu anavutia kabla ya kuvua nguo. Kwa hiyo garden love has nothing to do with mvuo. Good looks bana ndo inamatter. Si unaona wazee wanaangalia wowowo kwanza kabla ya mambo mengine
Tatizo akisha 'chojoa' unaweza kuwa disappointed (kama huyapendi!). Kama wewe ni HE, imagine umemchukua demu 'mkali' halafu akikuvulia nguo ukakutana na hayo manyoya!

Anyway, mwanaume shurti uwe na 'manyonya' angalau kidogo!
 
hashycool

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2010
Messages
6,618
Points
2,000

hashycool

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2010
6,618 2,000
mimi kwa kweli hayo manyoya pamoja na vimzuzu mbuzi.....no....i do a lot of work sasa hayo makitu are getting on ma way.....ndio maana siyapendi pamoja na kitambi inclusive
hujapata wa kutumia ki mzuzu mbuzi vizuri weye.....sam taimu kina act kama ki brush flani hivi wakati wa kuzama uvinza
 
Forum statistics

Threads 1,392,158
Members 528,552
Posts 34,100,261
Top