Manyoni : TZS 3.5BL za Rais Samia kujenga shule ya "Singida Girls"

Kihistoria,Wilaya ya Manyoni ndio Wilaya ya kwanza Tanzania kuwa na DC wa kwanza Mwafrica|Mtanzania kwa lugha nyepesi Manyoni ni miongoni mwawilaya za kwanza kwanza kuasisiwa kabla hata ya Uhuru wa Tanganyika mwaka 1961

Nikweli kwamba,Wilaya hii kongwe imesahaulika karibu na awamu zote zilizowahi kutawala nchi hii yaani tangu ile ya Hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere hata ile ya Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli zote ziliitupa Wilaya ya Manyoni kwani iko duni sana kimaendeleo hata sasa,

Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan unaipa Manyoni tumaini jipya la kupata maendeleo kwa kasi hasa baada ya kutoa zaidi ya TZS 3.5BL kwaajili ya Ujenzi wa shule ya wasichana ya mkoa "Singida Girls Sec School " inayotarajiwa kujengwa Kata ya Makutupora Tarafa ya Kintinku,

Awamu hii ya Sita ikichagizwa na uwepo wa Uongozi mahiri wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya chini ya Mwenyekiti hodari na Shupavu wa Chama Cha Mapinduzi Mhe Jumanne Makanda ( J4 ) kwa kushirikiana na DC Rahabu pamoja na viongozi wengine kasi ya Ukuaji wa Wilaya hii inaanza kukuna wadau wengi wa maendeleo ndani na nje ya mkoa wa Singida kwani kila kijiji kuna mradi wa Rais Samia Suluhu Hassan unaendelea,

"Mhe Rais Samia Suluhu Hassan tunamkaribisha Manyoni Sisi tuko na YeYe mpaka 2030 kwa kudra za mwenyezi Mungu " alisema Saidi mkazi wa Maweni,

View attachment 2046954View attachment 2046956

View attachment 2046952

View attachment 2046955
Excellent madame President
 
Safi Sana Manyoni,
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Kihistoria,Wilaya ya Manyoni ndio Wilaya ya kwanza Tanzania kuwa na DC wa kwanza Mwafrica|Mtanzania kwa lugha nyepesi Manyoni ni miongoni mwawilaya za kwanza kwanza kuasisiwa kabla hata ya Uhuru wa Tanganyika mwaka 1961

Nikweli kwamba,Wilaya hii kongwe imesahaulika karibu na awamu zote zilizowahi kutawala nchi hii yaani tangu ile ya Hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere hata ile ya Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli zote ziliitupa Wilaya ya Manyoni kwani iko duni sana kimaendeleo hata sasa,

Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan unaipa Manyoni tumaini jipya la kupata maendeleo kwa kasi hasa baada ya kutoa zaidi ya TZS 3.5BL kwaajili ya Ujenzi wa shule ya wasichana ya mkoa "Singida Girls Sec School " inayotarajiwa kujengwa Kata ya Makutupora Tarafa ya Kintinku,

Awamu hii ya Sita ikichagizwa na uwepo wa Uongozi mahiri wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya chini ya Mwenyekiti hodari na Shupavu wa Chama Cha Mapinduzi Mhe Jumanne Makanda ( J4 ) kwa kushirikiana na DC Rahabu pamoja na viongozi wengine kasi ya Ukuaji wa Wilaya hii inaanza kukuna wadau wengi wa maendeleo ndani na nje ya mkoa wa Singida kwani kila kijiji kuna mradi wa Rais Samia Suluhu Hassan unaendelea,

"Mhe Rais Samia Suluhu Hassan tunamkaribisha Manyoni Sisi tuko na YeYe mpaka 2030 kwa kudra za mwenyezi Mungu " alisema Saidi mkazi wa Maweni,

View attachment 2046954View attachment 2046956

View attachment 2046952

View attachment 2046955
Kazi iendelee Manyoni,
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
Uko sahihi,
 
Hizi hela za mama Samia anazichim ba shimo gani? Mbona hili linazidi kuwa tatizo? Tumerogwa na nani sisi maana hili jambo litaendelea mpaka watoto wetu watakuja kuamini hela za maendeleo nhutolewa na Rais.
 
Tatizo kwa nani?
 
Unaanzaje kuita kodi zetu pesa za mama Samia? Inashangaza sana na haya mambo yalianza awamu ya tano chini ya mpenda kuabudiwa yule kwa vile watu wengi wakati wake walivurugwa limeendelea maana ndo walewale bado.
Rais anasimama badala ya watanzania wote mkuu,

Kuwa na amani ya moyo
 
Back
Top Bottom