Manyerere Jackton wa gazeti la Jamhuri: Ninayo list ya wafadhili wa nje wa UAMSHO! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Manyerere Jackton wa gazeti la Jamhuri: Ninayo list ya wafadhili wa nje wa UAMSHO!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zanzibar huru, May 31, 2012.

 1. z

  zanzibar huru Senior Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hiyo ndio kauli yake leo kwenye press conference Unguja

  sasa kama mwandishi wa habari kwa nini asiweke wazi majina na listi ya hao wanaoifadhili UAMSHO?

  Manyerere anaficha nini?

  Msisahau kuwa huko nyuma aliwahi kusema najua wafadhili wote wa nje wa Freeman Mbowe na CHADEMA lakini akashindwa kuileta wala kusema ni akina nani hao.

  Mwenye namba yake tunaomba amwambie aje hapa JF ajibu hizi tuhuma kabla vijana wetu hawajaingia kumfanyia ile kazi ya CSI
   
 2. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Itakuwa ccm wanamtumia kudivert tention ya watu maana ukweli walio nyuma ya hiko kikundi ni ccm wenyewe huko unguja na suk yao
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Huyu ni mchumia tumbo wa akina lowassa na salva rweyemamu..hana jipya.
   
 4. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 1,522
  Trophy Points: 280
  mmmmmh!!!! Manyerere kama kweli ni kauli yako, tunaomba hiyo list mkuu.
   
 5. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kwani wanaofadhili si waarabu wanataka kurudi zanzibar kuja kuendeleza utumwa wao kwa wanyamwezi na wamakonde walioko zanzibar!.
   
 6. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Manyerere, Rweyemamu na Salvatory ni magamba ya Uandishi wa habari. MCT mmpo wapi?

  TUMBIRI (PhD, Hull University - UK),
  tumbiri@jamiiforums.com
   
 7. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,960
  Likes Received: 20,299
  Trophy Points: 280
  Jamhuri 'tunaanzia pale wengine walipoishia' Manyerere njoo au unataka tuanzie ulipoishia:lock1:
   
 8. z

  zanzibar huru Senior Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  na akija nataka atuletee ushaidi kuwa CHADEMA ina fadhiliwa na watu wa nje
   
 9. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Na wewe si huwa unasema CDM ni chama cha wakristo? au kwavile leo amekugusa ndiyo unatafuta huruma ya wanaChadema? shame on u!
   
 10. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Amekosa UDC huyu. Sasa ameona njia pekee ya kupata UDC ni kuichafua UAMSHO. Hana lolote ni mchumia tumbo. Gazeti lao - Jamhuri limepewa fedha na Lowassa na Membe. Kama anabisha aje hapa akane kisha tumueleze alipewa lini na kiasi gani.

  Nakumbuka wakati wa kampeni za mwaka 2005 huyu ndiyo alikuwa mpigadebe mkuu wa Kikwete akiwa na Balile. Alimtukana matusi mazito Dk. Salim kwa kumita mwarabu. Maandishi yake bado tunayakumbuka. Alikuwa mpiga kampeni mkubwa wa Kamalla aliyekuwa mbunge wa NKENGE.

  Waliligeuza gazeti la Tanzania Daima kipeperushi cha CCM. Walikuwa wanamwambia Mbowe, utuache usituingilie. Baada ya Mbowe kuchachamaa ndipo wakaibuka na ile tamthiria ambayo wengine wameingia kuicheza bila kuijua chanzo chake inayosema, "Wamilikiwa wa vyombo vya habari wanawaingilia wahariri."

  Hata nyumba anayokaa alijengewa na Lowassa na akawekewa umeme na Lowassa. Kama Manyerere unabisha njoo hapa ukanushe.
   
 11. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Mkuu husiwe unameza propaganda za watawala bila kutumia bongo yako. Mimi naamini licha ya mapungufu lakini wananchi wa Zanzibar wana sababu za msingi kuukataa muungano huu kama ulivyo sasa!
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,268
  Trophy Points: 280
  Manyerere nilishamdharau siku nyingi kwanza alishauguwa ugonjwa wa kichaa sasa huwezi juwa labda kichaa kinamrudia.
   
 13. M

  Mbozib JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mfadhili wa uamsho ni shetani
   
 14. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Wafadhili wa UAMSHO ni waarabu wa OMAN, wanataka kuleta OIC Z'ba
   
Loading...