Manyerere Jackton ndani ya Star TV muda huu

Skype

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
7,266
1,631
Ndugu wajumbe wa JF,

Kwa wale wanaoendelea kufuatilia sakata la wizi wa fedha za umma nadhani tupieni jicho hapo Star tv mtamkuta Jacton Manyerere akiwa hewani muda huu wakijadili mwenendo wa Escrow.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom