Uchaguzi 2020 Manyerere Jackton hatimaye avaa jezi ya CCM na kutangaza nia Butiama

Mbapambana ndani ya Ukoo wenu wewe na Madaraka, kilala heri nyote!
 
Ni haki yake kikatiba,acheni watu wachukue form jamani.Kabla haujamquestion mtu kuhusu kuchukua form,jiulize kwani wewe nani kakuwekea break kutokuchukua?Watu wachukue form as far as ni watanzania.
 
Jamaa huyo hapo baada ya kujikomba kwa mkuu hatimaye amevaa jezi kabisa.
Anaenda kuomba ubunge huko Butiama.


Exquisite,popote ulipo mjomba wetu Manyerere,salaam njema zikufikie.

We wish you best wishes in the nearby race for Butiama constituency.

We really know your patriotism and zealousness for this blessed county.

It's high time now to transform your carrier into political arena.

Go Manyerere Jackton.

Siempre Siempre CCM
Hasta la Victoria CCM
Aluta Continua CCM
Kidumu CCM.
 
Back
Top Bottom