Manyara: Wakili wa Serikali, Mutalemwa Kishenyi mbaroni kwa Rushwa, TAKUKURU wamshikisha za moto

Declaration of interest, jamaa nimesoma nae LL.B darasa moja, jamaa ni muadilifu wa ukweli kabisa na uadilifu wake ni uadilifu usiotia shaka, hivyo Takukuru ndio waongo!.
P
Ni kweli kabisa ulisoma naye na ni muadilifu, lakini kwanini akamatwe na mabandari matano ya noti nyingi. ?

Endapo itabainika pasipo shaka kuwa ni kweli mabandari ya noti hizo alipatiwa, utaisafisha vipi PCCB kwa tuhuma unazosema ni za uongo?
 
Hizo pesa amekamatwa nazo mkononi ama zilikuwa ndani ya mfuko!!?
Je aliyemletea ni miongoni mwa watuhumiwa ama ni mtu baki....
kuna ushahidi upi unaonyesha wakili aliomba rushwa ya milioni tano!!??
na kama alikuwa kwenye biashara ya kuuza gari yake tutajuaje!!?
Kelele mingi tu hapo sioni kesi
 
acheni kuingilia kazi ya TAKUKURU.

TAKUKURU inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria, tusiingilie.

Miongoni mwa kazi za TAKUKURU ni Kuchunguza na kukamata na kisha kupeleka mtuhumiwa mahakamani, Mahakama ndio itakayo amua kama anahatia au hana.

sisi tulio baki tukae kimya, tuviache vyombo vyetu vilivyo kasimiwa majukumu vifanye wajibu wao, tusijiingize ktk mkondo wa kuvunja sheria kwa kuanza kutoa shutuma kwa vyombo vyetu....eti kisa unamjua ni rafiki yako.!! hiyo si sawa.
kama unao ushahidi utaenda kumtetea mahakamani sio kwenye mitandao.
 
Watu wametoa maoni yao tu sidhani kama kuna mtu humu anaweza kuingilia kazi ya takukuru
 
Ni kweli kabisa ulisoma naye na ni muadilifu, lakini kwanini akamatwe na mabandari matano ya noti nyingi. ?

Endapo itabainika pasipo shaka kuwa ni kweli mabandari ya noti hizo alipatiwa, utaisafisha vipi PCCB kwa tuhuma unazosema ni za uongo?
Ukitaka nikuwekee madudu ya PCCB humu naweza. Let's wait and see. PCCB ni chafu, mimi sihitaji kuisafisha bali inahitaji kusafishwa

P
 
For me I won't say much but without going against JF rules & regulations, and without offending anyone being true to my words and speaking in a language that anyone can understand,,,
I therefore say that I absolutely have nothing to say.
 
TAKUKURU inamshikilia Mwendesha Mashitaka wa Mkoa wa Manyara, Wakili Msomi Mtalemwa Kishenyi kwa tuhuma za kuomba rushwa ya Milioni 5 kutoka kqa watuhumiwa wa Makosa ya jinai.

Hao watuhumiwa wa Jinai walikutwa na Risasi 370 pamoja na sticker fake za Bilioni 6.
View attachment 1763755

View attachment 1763752

Hizi ni baadhi ya Kesi zilizokuwa zinamkabili Mkurugenzi wa Jamii Forums, Maxence Melo alizozisimamia kidete:

1) Kesi dhidi ya JamiiForums: Meneja wa OILCOM (T) LTD atoa ushahidi, vielelezo vyake vyapingwa... Shauri laahirishwa

2) Kesi namba 458 kutotumia kikoa cha .TZ(Jamhuri vs JamiiForums) yasikilizwa na kuahirishwa hadi Novemba 20, 2017
Huyo arudi kwao akalime matoke na mbwanda kwani kwishnei. Tamaa nyingine nazo! Pole sana nshomile Mulangila Rwakatongo Rwakabuzi, Rwakatoke etc etc nshomile PhD PhC ettc
 
Eti wakili msomi! Hujielewi.
TAKUKURU inamshikilia Mwendesha Mashitaka wa Mkoa wa Manyara, Wakili Msomi Mtalemwa Kishenyi kwa tuhuma za kuomba rushwa ya Milioni 5 kutoka kqa watuhumiwa wa Makosa ya jinai.

Hao watuhumiwa wa Jinai walikutwa na Risasi 370 pamoja na sticker fake za Bilioni 6.
View attachment 1763755

View attachment 1763752

Hizi ni baadhi ya Kesi zilizokuwa zinamkabili Mkurugenzi wa Jamii Forums, Maxence Melo alizozisimamia kidete:

1) Kesi dhidi ya JamiiForums: Meneja wa OILCOM (T) LTD atoa ushahidi, vielelezo vyake vyapingwa... Shauri laahirishwa

2) Kesi namba 458 kutotumia kikoa cha .TZ(Jamhuri vs JamiiForums) yasikilizwa na kuahirishwa hadi Novemba 20, 2017
 
TAKUKURU inamshikilia Mwendesha Mashitaka wa Mkoa wa Manyara, Wakili Msomi Mtalemwa Kishenyi kwa tuhuma za kuomba rushwa ya Milioni 5 kutoka kqa watuhumiwa wa Makosa ya jinai.

Hao watuhumiwa wa Jinai walikutwa na Risasi 370 pamoja na sticker fake za Bilioni 6.
View attachment 1763755

View attachment 1763752

Hizi ni baadhi ya Kesi zilizokuwa zinamkabili Mkurugenzi wa Jamii Forums, Maxence Melo alizozisimamia kidete:

1) Kesi dhidi ya JamiiForums: Meneja wa OILCOM (T) LTD atoa ushahidi, vielelezo vyake vyapingwa... Shauri laahirishwa

2) Kesi namba 458 kutotumia kikoa cha .TZ(Jamhuri vs JamiiForums) yasikilizwa na kuahirishwa hadi Novemba 20, 2017
Ila uandishi wa huyo Bosi wa TAKUKURU Mkoa wa Manyara ni shida! Sentensi moja ni para moja. Mada tofauti katika barua moja. Du haya!
 
Back
Top Bottom