Manyara: RC Munyeti apiga marufuku umoja wa watu wa Kilimanjaro mkoani kwake

Hii ndio habari mpya inayozunguka kwa sasa .

Swali : Kwa kadri ya kumbukumbu ya mwanajf unayesoma uzi huu , vikundi kama hivi vya kuzikana viliwahi kuleta madhara yoyote mahali popote ?
View attachment 1283640
Mnyeti amewapa kick tu watu wa Kilimanjaro.

Mwaka 1989 pale Njombe palikuwa na kitu inaitwa WAKITARU..........Umoja wa wenyeji wa Kilimanjaro Tanga na Arusha wakati huo Manyara ikiwa ni wilaya ya Arusha.
 
Mbona serikalin mmejazana kama sio wakabila Wachaga tunajuwa chuki iliopo juu yao na mm nasema Mungu atajibu mapema wala sio mchana mnataman hata ule mlma mpeleke.... Kwenye mbuga yenu
Wachaga Mungu kesha wapa majibu Mitandao yenu mliyojenga miaka ya kuonea makabila mengine kwenye ajira,tenda,vyeo na fursa Mungu kamtumia Magufuli kuwapa majibu yenu.Uovu wenu umepatiwa majawabu
 
Mnafanya umoja kimagroup sasa , au kimtaa, mpak inafikia hatua ya chama kinarun mkoa mzima na mnaitisha kikao cha mkoa , si hatar hyo...alaf manyara sio far from Kilimanjaro , ni useles kutengeneza chama cha namna hiyo tena Kwa ukubwa huo , angalau ingekuwa Songea au katavi huko hapo inaweza ikamake sense , japo bado ni very dangerous
Labda, lakini hapo hapo anasema mikutano iwepo ya Wairak, Wafyome, Wamasa ila sio ---, wao wakitaka waende ---. Hawa wape, wale tupa kule!
 
Hatuwezi kupata maendeleo kwa kuwachukia walioendelea na kukwamisha maendeleo yao. Hii ni tabia ya kichawi.
Jifunze kutoka kwao na jiulize waliendeleaje na muwaige sio kuwachukia. Utasikia, Wachaga, Wahaya na Wanyakyusa Nyerere alisema tusiwape nchi. Sijasikia aliposemea haya mambo. Hata kama alisema kisirsiri, mnashindwa kufuata aliyosema wazi mnafuta aliyosema kisirsiri. Mwisho nae alisema " fuateni mambo yaliyokuwa mazuri toka kwangu na yale mabaya achana nayo "
 
Roho mbaya tuu!!hivi why wanawachukia wachaga tukubali wametupita vingi mnoooo!!tuendelelee kujifunza kutoka kwao!

Nasema hivi Roho mbayaaaaaaaaa!!na siwapendi miye mijitu kama hyooo na kwa staili hii hatutakaa tuwafikie wachaga ng'ooo..tunakoeleka tutawakataza kwenda desemba kwao!
 
Hii ni point ya Muhimu sana. Mimi nlikataa UDSM kujiunga na Umoja kama huo.walinishangaa. nikaenda mkoa flani nikaukuta jamaa mmoja kazini alipogundua mimi ni kabila hilo akanipeleka siku moja kwenye meeting kama surprise akanambia "huku ndo ndugu zako tunakutana" toka siku ile hakuniona tena kwenye meeting.

Mimi nalipenda Kabila langu na nalitaja popote napoulizwa.ila sibagui au sipendi ukabila.mama yangu ni kabila lingine na baba yangu. Nmeoa kabila lingine.sijawahi msaidia mtu sababu ya kabila au dini yake.mimi NI MBINADAMU Kwanza na halafu NAPENDA UBINADAMU.
YEHODAYA,
 
Ule umoja wa watanzania pale Washington na London nao ufutwe tu kama vipi..

Ni vyema pia tukafuta umoja wa wayemeni, waingereza, warusi nk na Balozi zote zisiwepo maana uwepo wa mabalozi ndio chanzo cha uwepo wa hivyo vikundi..
 
Back
Top Bottom