Manyanyaso yanayofanywa na ofisi ya Elimu ya Msingi katika Halmashauri ya Meru dhidi ya walimu

Nakuomba wewe mwalimu (walter) uje na vyeti vyako vyote vya taaluma ofisi ya Mkuu wa wilaya kesho asubuhi na huyo afisa elimu naye afanye hivyo (nimeshampigia simu). Hili ni agizo kutoka juu, atakayekaidi agizo hili imekula kwake pia wote wawili msisahau kuja na TIN NO. zenu Kila mmoja.

Nawatakia utekelezaji mwema !
 
Yaani DED alimwandikia barua Afisa Elimu akakaidi kujibu?

Nani mkubwa kikazi? DED ni boss & ndiye mwajiri wenu (wewe na Afisa Elimu wako).

Huyo afisa ni msimamizi tu wa kazi zako. Halafu kibali cha kwenda shule anatoa nani? Mwajiri au Msimamizi????

Unakwama wapi? Jiamini Brother... Acha woga!

Naona umejaa uoga sana.

[Endelea kunyenyekea]
 
Yaani DED alimwandikia barua Afisa Elimu akakaidi kujibu?

Nani mkubwa kikazi? DED ni boss & ndiye mwajiri wenu (wewe na Afisa Elimu wako).

Huyo afisa ni msimamizi tu wa kazi zako. Halafu kibali cha kwenda shule anatoa nan?, Mwajiri au Msimamizi ?????

Unakwama wapi? Jiamini Brother... Acha woga!

Naona umejaa uoga sana.

[Endelea kunyenyekea]
Kibali cha kwenda tayari tatizo ni yeye kuweka saini yake hapo ndipo kuna shida, hataki kuweka saini yake ili niende.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Huyu A/Elimu namfahamu ni mfupi hivi ni shida tupu alikuwa huko Katavi madiwani wakamkataa ndo akahamishiwa huko Meru, Sasa kwa jinsi navyomjua huyo jamaa, labda ulishawahi fanya kitu kibaya kwake? Labda kumdharau, au kukaidi maagizo yake.
 
Kwa kweli sijawai kufanya kitu kibaya kwake kabisa nashindwa kuelewa anakuwa na chuki na mimi bila sababu ya msingi

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu pole sana, kifupi wakuu wengi wa Idara katika halmashauri huwa wanajiona MIUNGU WATU, wana USUMBUFU, MAUDHI,NA UONEVU, japo si wote

Mimi nilishapitia changamoto kubwa kama hiyo yako lakini langu lilikuwa ni la kimishahara, sasahv namshukuru Mungu alinitetea.

Kifupi hapo chukua kopi ya hizo documents zote zinazoonesha kuwa unakidhi vigezo vya kwenda masomoni, yaani barua ya kuitwa kazini, ya kuthibitishwa kazini, mahudhurio yako na barua ya kwenda masomoni ambayo hajaisaini yeye tu zipeleke kwa MWANASHERIA, na asiwe wa hapo halmashauri ya Meru.

Unaweza kuniPM nikueleze zaidi
 
Mkuu nimeshaenda paka kwa mkurugenzi paka cwt akuna natumaini yoyote kwakeli nimezunguka sana bila mafanikio

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
CWT hawawezi kukusaidia KAMWE

Andika barua kwa Katibu tawala mkoa, acha nakala kwa Mkurugenzi Mtendaji, na kwa Afisa Elimu msingi.

Hapo afisa Utumishi au Elimu ataitwa mkoani kwa niaba ya Mkurugenzi wakajibu kwanini hujasainiwa hiyo barua
 
Mkuu pole sana, kifupi wakuu wengi wa Idara katika halmashauri huwa wanajiona MIUNGU WATU, wana USUMBUFU, MAUDHI,NA UONEVU, japo si wote

Mimi nilishapitia changamoto kubwa kama hiyo yako lakini langu lilikuwa ni la kimishahara, sasahv namshukuru Mungu alinitetea.

Kifupi hapo chukua kopi ya hizo documents zote zinazoonesha kuwa unakidhi vigezo vya kwenda masomoni, yaani barua ya kuitwa kazini, ya kuthibitishwa kazini, mahudhurio yako na barua ya kwenda masomoni ambayo hajaisaini yeye tu zipeleke kwa MWANASHERIA, na asiwe wa hapo halmashauri ya Meru.

Unaweza kuniPM nikueleze zaidi
Naomba namba yako pm au chukuwa hiyo yangu nibipu nikupigie chief tuongee unisaidie

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Nakuomba wewe mwalimu (walter) uje na vyeti vyako vyote vya taaluma ofisi ya Mkuu wa wilaya kesho asubuhi na huyo afisa elimu naye afanye hivyo (nimeshampigia simu). Hili ni agizo kutoka juu,atakaye kaidi agizo hili imekula kwake pia wote wawili msisahau kuja na TIN NO. zenu Kila mmoja.

Nawatakia utekelezaji mwema !
Huu mjadala mbona unaendelea? Mwl Walter Hii hujaiona au haya maelekezo?
 
Back
Top Bottom