Manyanyaso ya wakazi wa Songea Mtaa wa Mahenge

proxy

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
1,468
1,329
Habari za muda huu wandugu;

Kuna kero wanazopata wakazi wa Mkoa wa Ruvuma, wilaya ya Songea mjini sanasana maeneo ya Mahenge ,tunaomba kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya iangalie eneo hili maana ujambazi na vibaka wamekua wengi kwa kipindi hiki watu wanavyunjiwa nyumba na kupolwa.

Hii adha inawatesa sana wakazi wa mahenge ,Tunaomba serikali ya eneo husika na Wilaya kwa ujumla waliangalie hili.
 
Hao watakuwa vijana wa hapohapo kitaa wanawakumbusha muwape ajira hata ya ulinzi.
 
Si ndio nyie huwa mnasema wanaume wa dar wanaogopaje vibaka?

Kazi kwenu sasa wanaume wa songea?
Hamna anayeogopa ,kikubwa tunahofu ya kuchukua sheria mkononi ,maana sidhani kama tutamwacha mtu salama akija kuingia kwenye 6 zetu.
 
Back
Top Bottom