Manyanyaso ya TRA kwa wafanyabiashara wa Mbao

Mkuu miti umepanda wewe,umeihudumia wewe ukivuna ukitaka kusafirisha lazima ulipe maliasli wakupe kibali
Basi iwe hivyo hata kwa mahindi, ndizi samaki na mchele maana nayo ni mazao yafananayo na miti tu
 
Nauliza.
Ni kitu gani hii serikali ya awamu ya tano imefanya kuinua Maisha ya mtanzania. Mimi naona nabanwa kila upande. Kila uchao wanabuni mbinu za kuniumiza zaidi. Walishanivunjia nyumba zangu bila fidia. Kwenye uchaguzi ndio waliniacha hoi. Mbunge waliomchagua anahitaji kuongozwa.
1. Ukisema wamejenga flyover Mimi nakaa Handeni hainisaidii.
2. SGR. kwanza nasikia haijaisha
3. Barabara ya baharini huko siitumii.
4. Sijawahi panda ndege hata hili Hajees nauli yake ziiwezi nikija Dar napanda fuso.

Wenzangu Kama Kuna aliyefanyiwa wepesi na hii awamu atuambie I could be missing something.
huo ndio ukweli wote.
 
Ase mie pia nilikamilisha kila kitu na mwisho nikuwa na barua hiyo kutoka kwa mtendaji e bwana pindi nikikutana na hawa TRA kwani walinielewa wacha waninyoe ndugu hawa watu sio powa.
 
Back
Top Bottom