Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,820
- 33,199
Maliasili wanahusikaje kwenye mbao zilizotoka msituni kwako mwenyeweNa hapo unakuwa una vibali vyote kibali cha maliasili
Maliasili wanahusikaje kwenye mbao zilizotoka msituni kwako mwenyeweNa hapo unakuwa una vibali vyote kibali cha maliasili
Maliasili wanahusikaje kwenye mbao zilizotoka msituni kwako mwenyewe
Basi iwe hivyo hata kwa mahindi, ndizi samaki na mchele maana nayo ni mazao yafananayo na miti tuMkuu miti umepanda wewe,umeihudumia wewe ukivuna ukitaka kusafirisha lazima ulipe maliasli wakupe kibali
huo ndio ukweli wote.Nauliza.
Ni kitu gani hii serikali ya awamu ya tano imefanya kuinua Maisha ya mtanzania. Mimi naona nabanwa kila upande. Kila uchao wanabuni mbinu za kuniumiza zaidi. Walishanivunjia nyumba zangu bila fidia. Kwenye uchaguzi ndio waliniacha hoi. Mbunge waliomchagua anahitaji kuongozwa.
1. Ukisema wamejenga flyover Mimi nakaa Handeni hainisaidii.
2. SGR. kwanza nasikia haijaisha
3. Barabara ya baharini huko siitumii.
4. Sijawahi panda ndege hata hili Hajees nauli yake ziiwezi nikija Dar napanda fuso.
Wenzangu Kama Kuna aliyefanyiwa wepesi na hii awamu atuambie I could be missing something.