Manyanyaso wanayopitia wanafunzi wa chuo cha Mkolani Foundation Health Science Training Institute

Nyawenda

New Member
Oct 12, 2016
1
0
Mkolani Foundation health Science Training Institute Ni chuo kilichopo wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza. Hiki chuo hakina huduma nzuri kwa WANAFUNZI wao. Uongozi uliopo unawanyanyasa wanafunzi wanaosoma katika chuo hicho kwa kigezo kuwa mmiliki wa chuo ana mkono mrefu kwa viongozi wakubwa nchini hivyo wakaguzi wa nacte hawawezi kutoa Siri za uovu wanaowafanyia wanafunzi. Baadhi ya kero na MANYANYASO ya chuo hiki Ni Kama ifuatavyo:-

1. Kunyang'anywa vyeti vya kidato Cha nne unaporipoti chuoni. Hii Ni kero kubwa kwa WANAFUNZI wa chuo hiki kwakua ukishasajiliwa katika hiki chuo wao ndio wanaokuwa na maamuzi ya wewe kusoma katika chuo Chao kwa lazima. Hata ukitaka kuhama chuo hicho kutokana na taratibu zao mbovu, au kutofaulisha, au kutofundisha vizuri huwezi kufanikiwa kwani watakuzunguusha kwakua Cheri chako kinakuwa mikononi mwao. Pia wanakubambika madeni ya ada ambayo hujasoma ili uyalipe kwanza ndo upatiwe Cheri chako. Mfano Kuna WANAFUNZI wamelipa ada term 2 yaani mwezi 3 Hadi 5, mwezi 5 Hadi 7.

Wanafunzi hao walikataliwa kufanya mitihani wa mwezi wa 6 wakati mwezi huo upo katika malipo ya term ya pili yaani mwezi 5 Hadi 7/2021. Baada ya wanafunzi hao kuona kuwa chuo hakifai kutokana na changamoto mbalimbali waliamua kuomba kusitisha masomo yao lakini walikataliwa na kuambiwa walipe ada ya term ya 3 yaani mwezi 7 Hadi mwezi 9 wakati hiyo term hawajasoma kabisa na mitihani wa mwezi 6 walikataliwa kufanya licha ya kulipia ada Hadi mwezi waliokuwa wakifanya mitihani.

2. Kutosajiliwa kwa wakati. Chuo hiki kina tabia ya kupokea wanafunzi na kutowasajili nacte kwa sababu wanazozijua wenyewe ikiwa ni pamoja na kujinufaisha kupata ada ambayo mwanafunzi anakuwa hamalizi chuo kwa wakati na badala yake wanamsajili baada ya miezi kadhaa kupita na tayari wamesha chukua ada yake.

3. Umeme kuwa na nguvu ndogo. Hiki chuo kina changamoto ya umeme kitendo ambacho kinapelekea projector kuzima wakati wanafunzi wakifundishwa.

4. Kujilimbikizia madalaka, matatizo yote haya husababishwa na Uongozi mbovu kwani unakuta vyeo zaidi ya vinne anakuwa navyo mtu mmoja mfano mhasibu wa chuo hiki ana madalaka zaidi ya mawili Hali inayosababisha kutoweza kumudu majukumu yote kwa wakati mmoja.

NB: kutokana na baadhi ya changamoto hizi chache zinazosababisha wanafunzi kutaka kuondoka katika chuo hiki na juhudi zao kugonga mwamba kutokana na kunyang'anywa vyeti vyao og vya kidato Cha nne, wanafunzi walijaribu kufuatilia katika taasisi nyingine Kama vile mahakama na mwanasheria wa chuo husika ili waweze kupatiwa vyeti vyao lakini ilishindikana. Mahakama ya mwanzo iliwajibu kuwa hawawezi kuishitaki tasisi Ile kwakua Ni kubwa Sana. Mwanasheria wa chuo aliwazunguusha huko na kule bila mafanikio hatimaye wanafunzi hao kubaki hawana msaada wowote.
Kiukweli hiki chuo kinawaonea wanafunzi wao kwa kiwango kikubwa Sana na serikari ipo, wakaguzi hawakagui maana wangekuwa wanakagua wangepata taarifa za wanafunzi wanaonyanyasika kiasi hiki.

OMBI KWA SERIKALI YETU TANZANIA, TUNAOMBA UKAGUZI UFANYIKE KATIKA CHUO HIKI NA VYUO VINGINE VYENYE UONGOZI MBOVU UNAOSABABISHA WANAFUNZI KUUMIZWA KISAIKOLOJIA, KUNYIMWA UHURU WA KUSOMA CHUO AKITAKACHO NA KWA WAKATI KWA KUBAMBIKIZIWA MADENI, KUNYIMWA CHETI CHAKE NA KUTISHIWA KUTO ONDOLEWA KWENYE MFUMO ILI AWEZE KUJISAJIRI NA CHUO KINGINE.

Kama SERIKALI itafuatilia Basi mnipigie kwa no 0786850288 ili nishirikiane nao kutoa ushahidi kudhibitisha ujumbe ulioandikwa. Asanteh.
 
Tutor Lufulwambogo yupo!?? Jamaa angu Sana huyo toka Advance!!

Hiyo issue ni ndogo mkiwa na Umoja otherwise mtahangaika Sana!!!
 
Mmiliki wa chuo ni nani?usije kuta ni yule diwani tapeli
 
Mnafeli wapi fanyeni mgomo siku hiyo wote hakuna kwenda chuo mnaenda wilayani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom