Many jobs at university of bagamoyo

Mambo ya Kikwete hayo, Ji University lingine, jamani ni mangapi katika miaka yake 6? mangapi Nyerere katika miaka yake zaidi ya 20? mangapi ya Mwinyi? mangapi ya Nkapa?

Kikwete Allah atakulipa kwa kila jema ulifanyalo kwa wananchi wako. Hakuna bora zaidi ya elimu.

unasifia wing wa vyuo au ubora wa chuo.

Mambo ya Kikwete hayo, Ji University lingine, jamani ni mangapi katika miaka yake 6? mangapi Nyerere katika miaka yake zaidi ya 20? mangapi ya Mwinyi? mangapi ya Nkapa?

Kikwete Allah atakulipa kwa kila jema ulifanyalo kwa wananchi wako. Hakuna bora zaidi ya elimu.

ubora je?

Hicho ni chuo cha kata

Mambo ya Kikwete hayo, Ji University lingine, jamani ni mangapi katika miaka yake 6? mangapi Nyerere katika miaka yake zaidi ya 20? mangapi ya Mwinyi? mangapi ya Nkapa?

Kikwete Allah atakulipa kwa kila jema ulifanyalo kwa wananchi wako. Hakuna bora zaidi ya elimu.

je ameandaa mikakat gan ya kuviboresha?. Siasa tupu.

Mambo ya Kikwete hayo, Ji University lingine, jamani ni mangapi katika miaka yake 6? mangapi Nyerere katika miaka yake zaidi ya 20? mangapi ya Mwinyi? mangapi ya Nkapa?

Kikwete Allah atakulipa kwa kila jema ulifanyalo kwa wananchi wako. Hakuna bora zaidi ya elimu.
Tofautisha quality na quantity

Mambo ya Kikwete hayo, Ji University lingine, jamani ni mangapi katika miaka yake 6? mangapi Nyerere katika miaka yake zaidi ya 20? mangapi ya Mwinyi? mangapi ya Nkapa?

Kikwete Allah atakulipa kwa kila jema ulifanyalo kwa wananchi wako. Hakuna bora zaidi ya elimu.

Aaami ya rabi. tatizo kuna vipofu wachache wasio ona hata jema moja la kikwete. ALLAH atamlipa kwa mema aliyotendea nchi hii.

kwani kusoma huko bure??kote huko ni namna ya mtu kujitafutia pesa??kwn ela iliyojengea chuo icho imetokea kwenye account ya nani??

Mambo ya Kikwete hayo, Ji University lingine, jamani ni mangapi katika miaka yake 6? mangapi Nyerere katika miaka yake zaidi ya 20? mangapi ya Mwinyi? mangapi ya Nkapa?

Kikwete Allah atakulipa kwa kila jema ulifanyalo kwa wananchi wako. Hakuna bora zaidi ya elimu.
Sema mama Salma

Achana na fkra finyu.si kikwete aliyejenga hiki chuo.uamsifu kwa lipi ktk hiki chuo?fiokiria kabla ya kuifurahisha nafasi yako ndugu

Mambo ya Kikwete hayo, Ji University lingine, jamani ni mangapi katika miaka yake 6? mangapi Nyerere katika miaka yake zaidi ya 20? mangapi ya Mwinyi? mangapi ya Nkapa?

Kikwete Allah atakulipa kwa kila jema ulifanyalo kwa wananchi wako. Hakuna bora zaidi ya elimu.
offcourse hata kipindi cha nyerere kulikuwa na ma ipad , internet ,population ilikuwa zaidi ay mil 40,tulikuwa tunachimba madini sehemu mbalimbali nchini zaidi hata ya sasa hivi,tulikuwa na gesi nyingi tu hadi tulikuwa tunauza nje.. thamani ya pesa yetu ilikuwa ipo chini sana ..na sasa hivi JK kaipandisha sana thamani ya shilingi yetu..
thanks Kikwete ...

Waliompongeza kkwete wanantia shaka kama wameegemea dn vle au mnasemaje wadau?

nadhani huko unakoelekea siko mdau, au labda wewe ndo una fikra za kidini! Wanaomsifu JK eti kwa vyuo pia ni wavivu wa kufikiri, hatuhtaji just vyuo (ki2 ambacho SIRI KALI imejikita), najua nacho ni flop nyingine km Udom, km ni cha serikali. Ila wadau tuepuke kutumia dini km msingi wa kupingana kwetu. I stand to be corrected!

Mambo ya Kikwete hayo, Ji University lingine, jamani ni mangapi katika miaka yake 6? mangapi Nyerere katika miaka yake zaidi ya 20? mangapi ya Mwinyi? mangapi ya Nkapa?

Kikwete Allah atakulipa kwa kila jema ulifanyalo kwa wananchi wako. Hakuna bora zaidi ya elimu.
Faiza Fox kuwapa watu elimu ni kuwafungua macho sasa wakiisha ona wanajua ukweli uko wapi. Nyerere alibana elimu akatoa kwa nchoronchoro kihivyo alipata muda mwingi wa kupumua. Lakini Kikwete hana hila maana yote mzuri anayo fanya yanaonekana ni fake kwa sababu watu wana macho wanaona. Mambo ya Kijairo jairo nani anataka??? Wizi mtupu!!!!!!!

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom