Nilinusurika kuambukizwa UKIMWI baada ya kufanya mapenzi bila kinga na muathirika

Kuna jambo utajifunza hapa, Kisa cha kweli 2015

Ilikuwa niko kikazi kwenye kazi iliyobidi niwe mbali na nyumbani kama km 80 hivi vijijini huko mishe za TASAF. Tukiwa site na michakati ya kikazi ikiendelea shughuri tulikuwa tunazifanyia kwenye ofisi za Kijiji opposite na shule ya msingi, shughuri hizi zilijumuisha watumishi wengine kwa kada tofauti ngazi ya kijiji kama Bibi afya na walimu kadhaa. Huku na huku nikavutiwa na Mwalimu mmoja.

Dada alikuwa kabarikiwa tako sio la huu ukanda wa Sadeki.Bibie Tall kama mhaya, Kiuno nyigu ila sura ya kawaida sana. Nikafanya umafia wangu wakati wa Chakula nikafanikiwa kuipata namba yake. Ukiwa kijijini halafu unatokea mjini Halmashauri unaonekana kama fulsa hivyo kupata namba haikuwa mtihani. Wakati Mafunzo yanaendelea mi nikaanza kuchati naye yule bibie kisirisiri. Akawa muelewa sana na anafunguka sana, hivyo nikajua kama yuko Single ila ni single mother na haishi na mwanae hapo kazini kwake pia alikuwa akiishi Kota ya shule.

Semina ilikuwa inafungwa saa 11 jioni na kwa siku tulikuwa tunalipwa kama 65 hivi...ujijumlisha na janja janja ya hapa na pale laki na ushee mfukoni kwa siku ilikuwa kawaida kisave kwa siku na hiyo kazi ilikuwa ya wiki nzima.

Baada ya mafunzo tulikuwa tunaondoka pale kijijini na kwenda kwenye Center ambayo imechangamka hapo kuna Guest zenye hali nzuri kuliko kule kijijini site. Hivyo nikamset yule Bibie(Madam) anifuate jioni kwenye kamji kama km 15 hivi ili nimfaidi. Akakubali kuwa atakuja na gari ya mwisho inatopita kijijini hapo saa 1 jioni.

Mimi nikaandaa mazingira kwa kuchukua Chumba sehemu nyingine ili wana ambao tuko nao kwenye kazi wasielewe kwa sababu si unajua tena uzinzi unatakaga usiri.

Saa 2:30 usiku bibie akanipigia amefika, Nikamfuata moja kwa moja hadi room, nikamnunulia chakula na pombe za kutosha hela si ninayo bhana. Ule usiku hatukulala, Nilipiga ule mzigo through out the night. Madam hachoki, Nikicheki ule msambwanda mate yananitoka napanda tena. Kondom zikaisha kama saa 7 usiku. Box 2 x3 zilikiwa sita 1 niliifungua vibaya ikajiviliga nikaitupa zinabaki 5. Moja ilipasuka nikiwa kwenye 120 kwenye kona sikujali. Kifupi tulifanya Sex ya kujilipua. Baada ya ile kupasuka nilijipigia kavu kimija cha Asubuhi. Asubuhi bibie akawahi kujiandaa ali awahi kazini kwake nikamtoa na 20k.

Saa 3 asubuhi team yetu ya wataalam tukiwa na DFP tukaenda pale kijijini kuendelea na semina kama kawa. Yaani yule mwanamke alinichanganya sana.....Mchana wake nikiwa na uchovu wa kulala kifuani tukiwa na wanakijiji pale kijijini jamaa mmoja akawa anatusimlia kuhusu Madam. Agenda kumhusu huyo Madam niliileta mimi kupima upepo. Dhaaa! Niliishiwa ngumu

1. Jamaa akasema yule Madam hafai hata bule ni mgonjwa na anatumia dozi.
2. Akakazia kwamba Madam anapenda sana pombe alishawahi leweshwa na akabakwa na wanaume sita mnadani huko kwa wafigaji wa kisukuma.
3. Demu hajui kukataa. Watu wengi sana pale kijijini wamemtafuna. Dada anagawa utelezi tu.
4. Ana kesi za waume za watu kama zote

Kama kuna nyakati mimewahi ishi kwa mawazo na mateso basi ni kipindi hicho. Niliteseka kihisia sana, kama kuna nyakati niliwahi kujisimanga na kujilaumu basi ni kipindi hiki.

Nikafuta kabisa namba na mawasiliano na yule bibie kabisa. Sikutaka sio tu kumsikia bali sikutaka hata kuukumbuka ule usiku. Nyie tamaa mbaya aiseee

Baada ya kupotezana kwa muda wa miezi kama 8 hivi siku moja niko kazini naenda kunywa chai pale halmashauri nilimuona yule Madam akiwa anasubili kuingia ofisini kwa Afisa Elimu. Alikuwa kwenye foleni. Dhaaa nilimtizama sikummaliza
1. Madam alikuwa amedhoofu sana. Mwembamba kupindukia, Alikonda na Tako limeisha kabisa.
2. Madam anaumwa na mwili umembabuka bakuka kama mapunye
3. Kifupi sikumkumbuka kirahisi hadi nilivyomkaribia kabisa.

Dhaaa niliogooa sana. Nikamsalimia na kuingea naye mawili matatu nikificha mshangao wangu kwa namna alivyo badilika. Madam akanambia amekuja kushughurikia uhamisho ili aje shule ya pale wilayani karibu na hospital ya wilaya kwa sababu anaumwa na anatakiwa kuhudhuria hospital kila wakati.

Jambo pekee nililo muuliza ni UNAUMWA NINI ? Akanambia anasumbukiwa na TB. Nikampa pole nikasepa zangu. Niliogopa sana kiukweli. Kumbuka kipindi hicho Wife ananyonyesha first born wetu, dogo alikiwa na miezi kama 12 hivi. Nilawa na wenge sana kuwa inawezekana nami ninangoma na hivyo nimemuambukiza wife na Dogo ananyonya naye atapata ngoma. Niliishi wa mateso na hofu kuu maishani.

Ikumbukwe kuwa baada ya kumla yule Madam na Majanga yaliyofuatia sikuwa nimepima. Ile miezi 8 jumlisha 2 mwaka ukawa umepinduka na kuwa 2016 sikuwa nimechepuka tena. Nilikuwa naishi nikijutia. Nikapiga moyo konde january 2016 nikaenda kupima. Mungu akawa amenipa nafasi ya pili ya kuishi. Nikakaa miezi 3 nikapima tena nikawa sawa kabisa. Kuna Nyakati maishani Mungu anakupa second chance ya kuishi.

NB: MADAM ALIFARIKI 2018
Next time ukiuza mechi utumie PEP
 
Back
Top Bottom