Mantiki ya Viongozi kukagua gwaride huwa ni ipi?

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,373
Wakuu,

Nini lengo la viongozi kukagua gwaride?Mbona naona huwa anapita tu hata wakati mwingine hawaangalii hao wakaguliwaji?

Nilitegemea kiongozi awe na ile" attention to details" ili aweze kuwabaini wale wachafu au ambao kola hazijakaa vizuri watolewe mbele kwa ajili ya kuwajibishwa.

Najaribu kulinganisha na ukaguzi wanaofanya walimu shuleni ambapo wale wachafu hutolewa mbele.

Je Lengo hasa la viongozi kukagua gwaride ni nini?naomba kuelimishwa.

Ahsante.
images.jpg
 
Ahsante.View attachment 1789388
Nasubiri majibu na mie
 
mfundishe kula na wakubwa, mbona sisi wengine mwenge hatuuelewi kabisa tumetulia uku tumekula pose
Ndo Mimi napenda kufanya kazi na serikali.ina hela mno yaani Ina hela za kutosha inakupa na Bado itakupa na Bado inakulinda mpaka pale utakapokufa ndo haki zako zinafutika.
 
Rais anakagua gwaride la heshima.

Ni ishara kwamba yeye ndiye boss mkuu ndiyo maana anapita huku wakiwa kimya kabisa
 
Mashahidi wa Yehova hawaziamini na huwa mbali sana na serikali. Wewe imekuaje??
Ndo Mimi napenda kufanya kazi na serikali.ina hela mno yaani Ina hela za kutosha inakupa na Bado itakupa na Bado inakulinda mpaka pale utakapokufa ndo haki zako zinafutika.
 
Kanuni number moja jeshini ni UTII
Kanuni number mbili jeshini ni UTII
Kanuni number tatu jeshini ni UTII

Kukagua gwaride ni kielelezo cha UTII mkubwa sana kwa anayelikagua.
 
Soma swali upya
 
Back
Top Bottom