Mantiki ya hii makala ya Balile ni aina ya mikopo iliyokopwa wakati wa Hayati Magufuli

Uwawekee waTZ hawa 100 kila mwezi unajua kelele watazopiga huku wakisapotiwa na hao wanaojiita "wapinzani"? Hiki ulichoeleza kinatekelezeka kwenye nchi zenye raia na viongozi wanaojielewa...
Tatizo ni upuuzi unaofanyika kwenye matumizi ya hizo pesa,watu wanafuja sana pesa mpaka inaondoa morali ya kulipa kodi
 
Watachanganya na private investors- yaani PPP- public Private Partnerships, dunia hii ya nini kugangamara na mamiradi yanayotegema mikopo yenye masharti ya kuinamishwa kila corner?
Kuna watu ukiwaambia hiyo miradi ilianzishwa kihovyohovyo hawatakuelewa, watasema unamchukia marehemu
 
Kuna watu ukiwaambia hiyo miradi ilianzishwa kihovyohovyo hawatakuelewa, watasema unamchukia marehemu
Nitamchukiaje wakati anapewa ukweli wake kwamba alitungiza chaka la mikopo na sasa ameondoka tutafanywa mandondocha muda si punde ili halki yeye ni usingizi tu bila kuamka...
 
Back
Top Bottom