amygdala
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,082
- 997
USS George H.W. Bush aircraft, A Nimitz-class carrier yenye urefu wa mita 333 ikiwa imebeba ndege za kivita 80 na wanajeshi 5700 inatarajiwa kutia nanga katika mji mdogo wa haifa Julai mosi mwaka huu ikitokea bahari ya Mediterranean
Manowari hiyo ndio iliobeba ndege aina F-18 super hornet ambayo jana ilichafua hali ya hewa baada ya kuidungua ndege ya kijeshi ya Syria.
Kamanda wa manowari hio Rear Admiral Kenneth Whitesell amesema vijana wake wataruhusiwa kutembelea haifa na mikoa mingine yoyote ilioko ndani ya Israel kwa kipindi kifupi watakacho kuwapo mjini hapo aidha wananchi wa mji huo wanaisubiri kwa hamu manowari hio ili kuchangamkia pesa za wanajeshi hao 5700 watakao kuwa wanakula bata mjini hapo
The USS George H.W. Bush
Ynetnews News - US aircraft carrier to dock in Haifa
US Aircraft Carrier to Dock in HaifaThe Jewish Press | TPS / Tazpit News Agency | 25 Sivan 5777 – June 19, 2017 | JewishPress.com