Manowari ya Marekani kutia nanga Israel kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2000

amygdala

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,080
2,000
USS George H.W. Bush aircraft, A Nimitz-class carrier yenye urefu wa mita 333 ikiwa imebeba ndege za kivita 80 na wanajeshi 5700 inatarajiwa kutia nanga katika mji mdogo wa haifa Julai mosi mwaka huu ikitokea bahari ya Mediterranean
Manowari hiyo ndio iliobeba ndege aina F-18 super hornet ambayo jana ilichafua hali ya hewa baada ya kuidungua ndege ya kijeshi ya Syria.

Kamanda wa manowari hio Rear Admiral Kenneth Whitesell amesema vijana wake wataruhusiwa kutembelea haifa na mikoa mingine yoyote ilioko ndani ya Israel kwa kipindi kifupi watakacho kuwapo mjini hapo aidha wananchi wa mji huo wanaisubiri kwa hamu manowari hio ili kuchangamkia pesa za wanajeshi hao 5700 watakao kuwa wanakula bata mjini hapoThe USS George H.W. Bush

Ynetnews News - US aircraft carrier to dock in Haifa
US Aircraft Carrier to Dock in HaifaThe Jewish Press | TPS / Tazpit News Agency | 25 Sivan 5777 – June 19, 2017 | JewishPress.com
 

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
7,189
2,000
Kuweni makini maana kuna mimeli ile mikubwa kuliko hata hiyo meli inayobeba mafuta isijekuitungua meli ya bushi.
 

jovin607

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
454
500
Zimeenda manowari ngapi mzee...? Maana hapo umetaja manowari mbili kwa wakati mmoja
 

Chabrosy

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,342
2,000
Ebhana eeeh mashine iyo na sisi tpdf tungekuwa na air caft carrier yetu tungeita JP Magufuli Chato Kazi, ingekuwa safi sana...ila asikwambie mtu bhana kazi ya jeshi raha sana una enjoy bhana...

121.
 

mchichapori

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
644
1,000
Ebhana eeeh mashine iyo na sisi tpdf tungekuwa na air caft carrier yetu tungeita JP Magufuli Chato Kazi, ingekuwa safi sana...ila asikwambie mtu bhana kazi ya jeshi raha sana una enjoy bhana...

121.
Uliza askari walioko Middle East.
 

Chabrosy

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,342
2,000
Uliza askari walioko Middle East.
Unapajua lebanoni Tpdf tulishafanya operation zeti kule hata sisi tumeshaenda sana Middle east kutoa mchango wetu wa amani natamani sana siku moja niwe deployed Aghanistani natamani siku niende Afghanistani...

121.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom