ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,418
- 9,599
HMS Queen Elizabeth ndiyo meli kubwa zaidi kuwahi kuundwa kwa jeshi la wanamaji la Uingereza ikiwa na uwanja wa ndege wenye ukubwa wa viwanja vitatu vya soka.
Meli hiyo ni kubwa hadi itahitaji kusubiri kushuka kwa viwango vya maji kuweza kupitia eneo la Forth bridges.
Mashua zingine zitahitaji kuisindikiza meli hiyo kutoka ilikotia nanga huko Scotland.
Hata hivyo itachukua miaka kabla ya manowari HMS Queen Elizabeth kuanza kutumiwa na kubeba ndege.
BBC SWAHILI