godson Lomayani
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 538
- 711
Pambano limepigwa alfajiri ya leo katika ukumbi maarufu wa masumbwi MGM GRAND Nevada, LAS VEGAS.
Mpambano ulianza kwa mabondia wote kuviziana na kuchukukua tahadhari zote,lakini mistake ndogo aliyoifanya Keith Thurman ilimfanya Pacquiao kutumia hiyo weakness na kumsukumia makonde yaliyomlambisha sakafu Keith.
Katika raundi Keith alikuwa makini zaidi na kutumia advantage ya urefu wa mikono yake kumpiga Packman kwa mbali. Pamoja na Manny Pacquiao kumshinda mpinzani wake kwa points,lakini Keith Thurman ameonyesha uwezo mkubwa katika boxing, hakika ni Bondia mzuri kama itapigwa mechi ya marudiano nna uhakika anaweza kumpiga Pacquiao.