Manji sues Mengi for 100bn/-

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
17,369
33,011
A PROMINENT businessman Yusuf Manji, on Thursday, filed a plaint at the High Court against the IPP Executive Chairman, Mr Reginald Mengi and eight others for deliberately conspiring to defraud him.

In the plaint civil case number 135 of 2011, apart from Mengi, other respondents include The Reginald Mengi Family Trust, Sabas Kiwango, Silvanus Chingota, Zuberi Kiponda, Saeed Kubenea and Islam Mbarak.

Others are Kainerugaba Msemakweli and Kagoda Agriculture Limited and the plaintiffs are Yusuf Manji and Quality Finance Corporation.

In the plaint it was mentioned that Manji through Quality Finance Corporation entered into a loan agreement with Kagoda Agriculture Limited but after being informed by the government that some of the proceeds received by his company from the transaction with Kagoda Agriculture Limited were tainted, on March, 2006 he decided to return the money to the government instead.

Zaidi soma hapa Daily News | Manji sues Mengi for 100bn/-
 
Hivi ile kesi yake anayomdai Mengi Tshs. 1/- imeisha kweli? Alilipwa au?
 
......Wakati Manji akiyafanya hayo, Msemakweli naye amesema anadhamiria kumfungulia kesi Mahakama Kuu akimdai fidia ya Sh bilioni 500 kwa alichodai ni kumdhalilisha kupitia vyombo vya habari.....

Soma hapa HabariLeo | Manji aishitaki Kagoda
 
huyu manji na mengi nao hawakui! ile kesi ya sh 1 inakera kweli,ni wastage ya hela ya walipa kodi.ningekuwa hakimu nisingeisoma mara 2!watu wana kesi za kubambikwa za mauaji huko hakuna mahakimu wa kuzisikiliza wao wanaleta mchezo wao wa kujificha! 
 
Fisadi Papa linatapatapa, limeshikwa pabaya na Msemakweli, halikutarajia kuwa angechimbwa vile. Viva Msema kweli.
 
Ukisoma kwa umakini kwenye gazeti la Daily News Mengi ametajwa kuwa mmoja wa mshtakiwa lakini kwenye Habari leo halikumtaja kama mmoja wapo wa washtakiwa. Sijui ni nini kinatokea huko Tanzania Standard News Editor's room
 
WAKILI a.k.a MWANASHERIA=Mfanyabiashara
MWIZI a.k.a MTUHUMIWA=Mteja

U can't separate politics and business
 
Enyi wafanyabiashara ni aibu mno kujiondoa nyumbani na kwenda kufungua kesi ya madai kisa fulani kanitamka vibaya. Tabia hii mbaya mnayo sana, lakini rudini nyuma angalieni ni kiasi gani mnchotuibia nasi tunawasii kurudisha bila kwenda mahakamani. Aibu pia iwaangukie ninyi mnawasimamia kama wanasheria wao, tunawaomba muwashauri kuwa wanakutana na kuwekana sawa badala ya kuwashauri kukimbilia mahakamani ili mpate ulaji.
 
huyu manji na mengi nao hawakui! ile kesi ya sh 1 inakera kweli,ni wastage ya hela ya walipa kodi.ningekuwa hakimu nisingeisoma mara 2!watu wana kesi za kubambikwa za mauaji huko hakuna mahakimu wa kuzisikiliza wao wanaleta mchezo wao wa kujificha! 

suere K,

pamoja na kuwa na haki hiyo, busara ingetumika
 
Hivi ile kesi yake anayomdai Mengi Tshs. 1/- imeisha kweli? Alilipwa au?

jamaa ana nyodo za kipumbavu,
kuna siku atawapeleka JF members mahakamani na kudai Trillion 500 nyie mtajeni tu.
busara hakuna kabisa hapo hivi anajua mshahara wa jaji au hakimu? analipa kodi?
 
Back
Top Bottom