Mikia FC matumbo ya kuhara yamekushikeni!!Manji arejea Mjengoni mamia ya wanachama wampokea kwa fifijo na nderemo.
Je Ajib na Mkude watasajiliwa ?
Amemalizanaje na bashiteMikia FC matumbo ya kuhara yamekushikeni!!
Sijakisoma bado!Manji kila siku anawatingisha tu.. Yanga wote wamekua kama mbulula
Kamtoa nock out asubuhi tu. Sasa ni zamu yenu maandamano fcAmemalizanaje na bashite
Huyo keshasaini tangu juziSimba kwa sasa,wanahangaika na Haruna Hakizimana, maana nimemuona Alfajili ya Leo saa tisa Evance Aveva akifika Airport na Mda huohuo Haruna anashuka akitokea Rwanda na baada ya muda Haruna anapanda Gari ndogo na kuondoka na Aveva naye Anaondoka.Kama watafikia muafaka upo uwezekano mda si mrefu wakamtangaza rasmi.