Manji kuinunua Nakumatt

Hiyo inaweza kuwa moja ya interpretations. Ingawa mimi naona kutokana na namna Magufuli anavyowasema matajiri na ‘ku-deal’ nao, maskini wengi wanavutiwa. Na ukiangalia kushangilia kwao ni kwamba heri wote tukose! Hii ndiyo mitazamo ya kimaskini. Hawajui trickle down effect wa kuwa na matajiri.
Ni upumbavu ulioje...masikini anashangilia tajiri kufilisiwa bila sababu
 
Back
Top Bottom