Manji kafanya aliyofanyiwa Muro, nani anamlinda?

polisi walishasema hawana ushahidi kuhusu kagoda. Sasa ushahidi wa maandishi, sauti na picha wamepewa wanasema uchunguzi unaendelea.
 
msemauongo ni kibaraka wa ccm,pesa iliibiwa kabla ya uchaguzi yeye anasema baada ya uchaguzi,anatumiwa tu na mengi kuwashambulia b'ness competitor wake,hata kama wamehusika anataka kuwaondoa ccm kwenye kashfa.
 
Muda wa kuchezea watanzania naona unaelekea ukingoni, amini nawaambia, watanzania wa leo na wa kesho watakuwa moto wa kuotea mbali, huu si muda wa kutishana, ningemshauri msemakweli amfungulie kesi manji kwa kudanganya uma, huyu mshenzi tunajua nyuma yake yupo nani ilia mwisho waja, i am telling you, no stone will be left unturned!
 
msemauongo ni kibaraka wa ccm,pesa iliibiwa kabla ya uchaguzi yeye anasema baada ya uchaguzi,anatumiwa tu na mengi kuwashambulia b'ness competitor wake,hata kama wamehusika anataka kuwaondoa ccm kwenye kashfa.

Huo mtego umebuma fisadi Manji atatega mwingine
 
Back
Top Bottom