Manji awasili mkutano wa yanga

ommytk

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
482
1,053
Mwanachama wa Yanga Yusuf Manji amewasili muda huu kwenye mkutano mkuu wa yanga na kuzua shangwe kubwa nje ya ukumbi na ukumbini
 
Akirudi rasmi Yanga, Mikia fc na Karia wao ndiyo basi tena! Ubingwa watausikia kwenye redio.
 
Yanga wasiwe na pupa na Manji wawe na pupa na ubingwa nna imani GSM are on track wakimtaka Manji ujenzi wa timu itabidi uanze upya which means ubingwa wa vpl mpaka 2025 na hakuna shabiki wa Yanga anaweza kusubiria hilo na kama huwezi subiri hilo achaneni na Manji
 
Hii Simba SC ya sasa sio ile mlioizoea kipindi kile cha wahujumu uchumi wenu, hii ya sasa tena waungane na GSM, Rostam na nyie muongeze ile michango yenu ya kwenye mabakuli bado tutawakamua tu.
Time will tell bro!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom