Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,475
- 39,991
Kesi ya Mengi na Manji, mahakama haiwezi kuita shahidi aje kumsaidia Mengi ua Manji.
Manji akishatoa vielelezo vya vipengele vya madai (elements of the course of action) kwamba Mengi kanichafua, mzigo unahamia kwa Mengi, sio kwa mahakama, kwa Mengi, kuthibitisha uchafu wa Manji au kuthibitisha kwamba hakusema Manji fisadi papa.
Au unasemaje, ewe mkufunzi wa sheria wa jamvi, Mkuu Mwanakijiji?
mbona hilo ni rahisi... Mengi anapoitwa mahakamani atatakiwa afanye nini?