Manji alihahidi kumfungulia mashitaka Makonda, vipi mbona kimya

Mojojo

Member
Jun 7, 2017
39
39
Sijui nini kimekuta huyu tajiri jeuri baada ya kusweka ndani

Nakumbuka ni huyu ndiye alimfunguliaga Mengi shitaka la madai ya kuchafuliwa jina akidai shilingi tano

Huku akiwalipa mapesa mengi mawakili wake simamia hiyo kesi

Kipi kinamfanya mpaka leo awe kimya mfungulia mashitaka Makonda?
 
Kumbukumbu zako ni mbovu. Manji alimdai Mengi Shillingi moja siyo tano.
 
Back
Top Bottom