Manji akubali kurudi kuifadhili yanga

Mwanagandila

Senior Member
Oct 9, 2011
182
100
Asalaam aleykhum wana JF, habari nilizozipata hivi punde ni kwamba Bwn.Yusuph Manji amekubali kurudi kuendelea na ufadhili wake katika klabu ya Young Africans yenye masakani yake mitaa Jangwani na Twiga.
Manji anatarajiwa kupokewa siku ya ijumaa na washabiki na wapenzi wa klabu hiyo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwl Nyerere, amabapo kurudi kwake anatrajiwa kukamilisha ujenzi wa Uwanja wa Kaunda ikiwa ni pamoj ana kuweka nysai bandia, kujenga jengo katika kiwanja kilichopo mtaa wa Mafia
 
Mangi aje tu aisaee maana tushaona kumbe pesa ndo ushindi,akija utabingwa yanga itachukua
 
Hapa ni siasa kwa kwenda mbele mods mpeleke anakositahili michezo na burdani asituharibie uondo ebo
 
Hana jeuri ya kukataa maana anatumia kofi hiyo kupunguza makali ya kutajwa kama fisadi na ameona tangu aondoke ameanza katanjwa tanjwa tena.............
 
kweli nimeamini uzalendo umewashinda yanga hivi unafikiri bila pesa club itaendelea vipi?? wakati wazee wa club wamejaa majungu na fitnah tuuuu pesa ndio SAFISHO la majungu na unafki,,,
 
Safi sana,kama nikweli manji atarudi itakua poa sana,pesa ndio kila kitu ktk ulimwengu huu,mtu ni kitu na kamahuna kitu ni kinyama cha mwitu.
 
kundi la binadamu hata liwe kubwa kiasi gani kama haliwezi kufikiri lenyewe wakati kuna anayefanya hivyo, ni lazima madaraja (classes) hayaepukiki! Nchi kama India nasikia bado kuna madaraja, naomba na hapa tujaribu kuanzisha hiyo sera ili Manji awe 'daraja la kwanza' (class A citizen)
 
Yanga kweli vichwa maji, yaani mmeshindwa kutafuta means zozote za hela mpaka mmemgeukia yule *********, je na nynyi akiwageukia> jifunzeni kwa wana msimbazi hawana gabachori ila km kawa wanasonga, mnampa kichwa bureeee manji wala si lolote wala chochote.
 
Yanga kweli vichwa maji, yaani mmeshindwa kutafuta means zozote za hela mpaka mmemgeukia yule *********, je na nynyi akiwageukia> jifunzeni kwa wana msimbazi hawana gabachori ila km kawa wanasonga, mnampa kichwa bureeee manji wala si lolote wala chochote.
ok wait then u will know well who iz manji ok?
 
Back
Top Bottom