Manji aanzisha QUALITY MEDIA GROUP na kumchukua MUHINGO kuendesha!

M-bongo

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
338
71
Ndg zangu wana JF

Nimepata taarifa za uhakika kuwa MANJI ameanzisha chombo cha habari ambacho kitakua na Magazeti,Tv na Radio na ameanza na gazeti la yanga kulichukua na kutokana na taarifa za uhakika ni maandalizi ya 2015.

Mpango wao ni kuwa na gazeti la daily la kisiasa, la kiingereza la kisiasa, na la michezo la kiswahili na la kiingereza.

MUHINGO NDIYE ATAKAYEKUWA MWENDESHAJI WA CHOMBO HICHO CHA HABARI.
 
Kama ni kweli basi itakuwa ni Hatari kweli! kwani wananchi watakuwa wakipewa habari ambazo zimechakachuliwa na zenye kupotosha jamii kwa kiwango kikubwa kweli! Hii wananchi wanatakiwa kuamuka na kuikataa hii!!!! Mifano ni magazeti ya RA yanavyotumika kumaliza na kuliangamiza taifa kwa uchochezi na udanganyifu wa hali ya juu.
 
Hapo ndipo kuna kila sababu ya raia kuwa na japo element za usomi!...Vinginevyo vyombo hivyo vitakuwa na kila aina ya kuwavutia wananchi ili wayanunue na kulamba sumu iliyomo ndani!

Wameona ya RA yanadoda, wanajaribisha mtu mwingine!...Tangu lini Manji akajua umasikini wa Watanzania hadi aanzishe media itakayokidhi matarajio ya watanzania?
Network Searching!
 
Kwa hio itakua gazeti kama the citizen au guardian? au sio? Ili mradi ashindane na Mengi nini?
 
Kama ni kweli basi itakuwa ni Hatari kweli! kwani wananchi watakuwa wakipewa habari ambazo zimechakachuliwa na zenye kupotosha jamii kwa kiwango kikubwa kweli! Hii wananchi wanatakiwa kuamuka na kuikataa hii!!!! Mifano ni magazeti ya RA yanavyotumika kumaliza na kuliangamiza taifa kwa uchochezi na udanganyifu wa hali ya juu.

Kama unayajua kwa nini ununue? Ukiacha wewe na mwingine kuna siku yatakufa tu.
 
Kama ni kweli basi itakuwa ni Hatari kweli! kwani wananchi watakuwa wakipewa habari ambazo zimechakachuliwa na zenye kupotosha jamii kwa kiwango kikubwa kweli! Hii wananchi wanatakiwa kuamuka na kuikataa hii!!!! Mifano ni magazeti ya RA yanavyotumika kumaliza na kuliangamiza taifa kwa uchochezi na udanganyifu wa hali ya juu.

Yeye achakachue tu na hizo media zake. Kuna aliyechakachua habari kuzidi Diallo na TV zake? Muulize kama bado tena ana hamu na wana-Mwanza yeye na mwenzake Masha.
 
mi nimesikia kuwa Manji ana share kwenye radio clouds na ndo maaana siku hizi wako pure upande wa ccm. kuna ukweli hili jamani?
 
ana kwazi yake kubwa ni kuwatumikia hao mafisadi tena katika kumkandamiza Mtanzania, shme on him....
 
Hivi mambo yakibadilika ataweka wapi sura yake, maana inaonekana kazi kubwa ya Muhingo ni kuwatumikia mafisadi, tena kwa kuwakandamiza Watanzania masikini, shame on him.....
 
Atasoma yeye na mkewe na wanae sie hatusomi magazeti ya kifisadi. habari zote ziko ktk mtandao na magazeti yanayoeleweka siyo ya kifisadi.:nono:
 
Back
Top Bottom