Manispaa zetu zimeshindwa kazi?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,605
696,697
Kila unapopita kwenye barabara za mitaa ya Dar ni kero ya magari yaliyopaki Sehemu ambazo kimsingi ni eneo la barabara .Sehemu zilizoathirika zaidi ni mabibo NIT Rd kariakoo ilala Tabata buguruni Temeke na kwingineko
Manispaa hazina ubavu wa kuliondoa hili au ni udhaifu wa Mkuu wa mkoa na watendaji wale?
Tujadili
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom