Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,283
- 7,834
Kwa muda wa majuma matatu sasa gari la kukusanya taka halijapita kwa baadhi ya maeneo ya mji wa Iringa hasa maeneo ya pembezoni kidogo. Hili limepelekea taka nyingi za majumbani kuwekwa barabarani na zinazagaa kwa muda mrefu sasa. Baadhi ya watu wamekata tamaa na badala take hutumia mvua zinazoendelea kunyesha kama moja ya njia ya kutupa taka kwa kuzimwaga kwenye mitaro wakati mvua ikiwa kubwa.
Ingekuwa kuna joto Tungeshuhudia mlipuko wa magonjwa kutokana na uchafu huo. Taka taka nyingi zimejaa majumbani, migahawani, maduka na vijisoko vya mkwawa, donbosco na maeneo mengine.
Wanaohusika wabuni mbinu mbadala kama wataweza,ili kutunusuru wananchi
NB. Maeneo yanayozungumzwa ni Ilala, Mkwawa na Donbosco mengine sijatembelea
UPDATES
Gari limepita Leo na kuchukua taka, huenda hatua hii imechagizwa na mashindano ya magari yanauoendelea.
Nimefuatilia sababu ya kutopita kuchukua taka kwa muda wote huo nimeambiwa ni wananchi hawataki kuchangia ghalama za huduma hiyo.
UPDATES 13TH MAY 2017
Gari laanispaa limetengemaa na linapita Mara mbili kwa juma kama zamani na hali ni shwali kabisa na mji unapendeza kwakweli.
Thanks kwa waliofanikisha hili