Manispaa ilala siku maalum ya usafi muanzie ukonga mazizni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Manispaa ilala siku maalum ya usafi muanzie ukonga mazizni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by masharubu, Apr 27, 2011.

 1. masharubu

  masharubu Senior Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimeona tangazo kutoka manispaa ya ilala ikiwahimiza wakazi wa manispaa hiyo kuwa kila jumamosi ya kwanza ya kila mwezi ni siku usafi ktk manispaa hiyo.

  Ninachowaomba kwa hilo kwa kuwa mmekua mkichukua kodi kwa kila n'gombe anaechinjwa hapo lakini usafi hamsimamii wala hamuufanyi na machinjio yanatoa harufu hasa kipindi hiki cha mvua.

  Barabara ya kuingia ndani ya machinjio ni chafu kupindukia kiasi kama wadau wa tv wakiwaonyesha jamii hali ya machinjio hawatakula nyama, sasa hiyo alfu kumi kwa kila n'gombe mnayochukua mnachukua kwa ajili ya matumbo yenu.

  Hivi ilikuwaje waziri wa mifugo hakupitishwa ukonga mazizini angejionea balaa kushinda la vingunguti, na pia wamekua na ujanja wa kutotengeneza barabara ili watu wasiiende kujionea madudu yao.

  Harufu ya damu inayopikwa haivumiliki kiukweli, halafu mnalaumu jamii forum wakati madudu mnayafanya wenyewe.

  Meya wa jiji, na manispaa ya ilala mpoo!!!!!!!!!!!??????????
   
Loading...