Manispa ya Bukoba Chini ya CHADEMA inajenga Standi ya Kisasa kuliko zote Tanzania

Kumbe ipo chini ya Chadema..
Mwisho wa siku ni maendeleo kwa Watanzania wote bila kujali wa Chama hiki au kile na wasio na Chama.

Magufuli oyeeeeee
 
Kwa mujibu wa chadema ujenzi kama huo hauna faida yeyote kwa bibi zao kule kijijin!

Nadhani mpaka hapo umeshaona mbumbumbu ni nani other wise na wewe uwe miongini mwa mbumbumbu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaweza kuwasamehe wafuasi wa ccm kwaajili ya elimu yao lakini wasomi wanapolishwa matango pori na wakakubali ni aibu zaidi. Unawezaje mtu na degree yako udanganywe kama chizi?
Mfano mzuri hivi leo mnavyomshangilia Zitto utafikiri ninyi ni Lemmings ama nyumbu. Kwetu watu wa aina hii tunawalinganisha na bata mzee wa kunywa kila mahali.
 
Hawa wa.s.e.n.g e kweli..hizo ni projects za tamisemi..eti chadema..hao chadema wangekuwa na ubavu si wangejenga ofisi ya chama makao makuu waachane na kiosk kile cha ufipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie CHADEMA vipi, Tanzania hatuhitaji maendeleo ya vitu eboo.😃😃 Tutajuana siku Magufuli akija kufungua mradi wake😃😃 Mtu mwenyewe Jafo anaanzaga na "Ni wewe mheshimiwa Rais ulitupatia billikn xx kwa ajilimya Stand hii.. na sasavumetoa billioni nyingine xxx kwa ajili ya... mradi unaokwenda kukamilika hivi mkaribuni nao tutakuita utuzindulie😀😀
 
Hata Aibu huoni
Kajengeni kwanza Ufipa ndio uje na uharo hapa
Tamisemi hiyo
 
Afadhali, chadema mpate angalau kitu kimoja cha kujivunia kilichofanywa chini ya usimamizi wenu. Siku zote mnaleta porojo tu na majungu, labda mpataka na akili ya kuamua kujenga ofisi ya makao makuu.
 
"Na mumwambie Kubenea, Jacob na Mnyika. Wakiendelea kubishana juu ya kuanza ujenzi wa Stendi ya Mbezi, tunanyang'anya pesa tunazipeleka Bukoba"😂😂😁😁
 
Mbeya mlikua na mkakati kama huu,yule memba sijui alienda wapi au hakupata support?
 
Safi sana chadema, kweli nimeamini maendeleo hayana chama....TANZANIA KWANZA VYAMA BAADAE
 
Lete picha za watu wapo site wanajenga sio michoro ya kompyuta.
 
Back
Top Bottom