Manispa ya Bukoba Chini ya CHADEMA inajenga Standi ya Kisasa kuliko zote Tanzania

Nadhani ni mradi wa ULGSP ndio unaleta mabadiliko haya makubwa kwenye Manispaa za mikoa, zipo LGAs zilizojenga au kuboresha stand, kununua magari ya kubebea taka,kuimarisha miundombinu kama barabara, maeneo ya kuegesha magari ya mizigo, muhimu ni matumizi sahihi ya fedha hizi
 
Back
Top Bottom