Manii huboresha ngozi za wanawake

Mwanamke huwa anakuwa nyororo na kupata ung'aavu kama akiwa anafanya na kufika kileleni sababu hii kitu humtoa stress na kufanya akili yake irelax na kuwa tulivu. Ila sio manii/ shahawa kumfanya nini sijui.

Mwisho wa siku shawaha unazomwaga ndani yake huwa zinatoka maru akisimama ndo maana lazima aende bafuni kujisafisha amasivyo utazikuta hapo kitandani kwenye shuka.

So naomba mleta mada usiendelee kupotosha na wewe ukajifunze zaidi.
 
Back
Top Bottom