Manii huathiri kama vimelea vya kichaa cha mbwa

IMG-20230331-WA0058.jpg
 
"Tangu nizaliwe sijawahi kuwa na Mwanamke kwenye mahusiano kwasababu mimi ndio mdada mwenyewe, nina mpango wa kwenda kunyofoa sehemu zangu za siri za kiume niweke za kike, lakini pia nataka nikaweke matiti. Hii itanichukua miezi sita na nitapotea kabisa kwenye mitandao ili kuugulia maumivu ya haya mabadiliko ninayoenda kuyafanya"

"Nafanya hivi kwasababu ndio maisha niliyochagua, nilitoka Kenya kuja huku Ujerumani kujiuza, lazima nihakikishe najiuza mjini na vijijini, siogopi kufa, siogopi Mungu, siogopi chochote, nimejitoa mhanga kwa kila litakalonitokea kwenye maisha yangu"- Chokuu
FB_IMG_1697423213278.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom