Manguta - (Nguashi Ntimbo) T.P. Jazz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Manguta - (Nguashi Ntimbo) T.P. Jazz

Discussion in 'Entertainment' started by Sikonge, Apr 4, 2009.

 1. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kwa wale wapenzi wa OLD RUMBA, kuna wimbo hapo juu ni vigumu sana kuupata na nimeubahatisha kuukuta kwenye YOUTUBE, jamaa mmoja kaweka Video yake live. Kama kuna mtu alikuwa akiutafuta na hajawahi kuuna au kuusikia siku nyingi basi wahini hapa chini. Mids hii baadaye mwaweza kuichanganya na thread nyingine za miziki.

  [ame=http://www.youtube.com/watch?v=7COog8wwhs0]YouTube - Orchestre T.P. O.K. Jazz - Manguta (Nguashi Ntimbo) Télé Zaire 1980[/ame]
   
 2. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  - Mkulu wangu Sikonge, shukrani mimi binafsi nilikuwa ninautafuta ile mbaya sasa nataka kuufyonza hauchezi vipi tena mkuu?

  FMES!


  Okay nimeenda kule nimeukuta ingawa wameukata lakini saafi, duh! wakulu wote kuanzia Papa Ndombe, Josky Kiambukuta, Micky RIP, Madilu Systeme, kina Mayaula Mayoni, na Mkulu mwenyewe Maestro Lutumba Simaroo.
   
 3. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  FMes,
  Nilikuahidi kukuwekea hapa ila shughuli tena. Pasaka hii ntajitahidi niurekodi kutoka kwenye VYNIL na kuuweka kwenye Hard Disc. Na soon baada ya pasaka basi ntaweka hapa LINK yake au kuwatumia watu moja kwa moja kwenye email zao. Hivyo kama wataka wimbo peke yake , VUTA SUBIRA.

  NB: Ila niseme kabisa kuwa kuna sehemu unaJAM na kuanza kujirudia hivyo itabidi kuanza kufanya KALUFUNDI kidogo na last product inaweza kuwa kidogo saana kuwa na mushkeli.... Ntajitahidi iwe ndogo sana au isiwepo kabisa, labda mtu aitafute kwenye waves za wimbo...
   
 4. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  - Tupo pamoja mkuu ila for now nimehsufyonza huu ulioko youtube tayari, nitasubiri wako.

  Respect!
   
 5. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  Mkuu Sikonge, ASANTE sana kwa hiki KIGONGO!! Sisi wengine tukipata Vitu kama hivi tena vikiwa kwenye video tunasuuzika. Mkuu Sikonge, FMES na wengineo miaka ya 81/82 kuna Kigongo kimoja kilivuma sana ambacho nakitafuta sana na nitashukuru sana kama kuna mtu anacho akatuwekea mahali tukaburudika. Kinaitwa MBOYO sina hakina kilipigwa na nani ingawa nahisi ni GRAND PIZZA. Kuna Solo imecharazwa humo sio kawaida!
   
 6. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Baadhi yetu kwenye ma office yuotube prohibited...kwa sababu za kimawasiliano kama unafahamu....kuplay ka video kanachukua band with kubwa flani..so kama una link tofauti na youtube itakuwa better.
  NB:Kama ikishindikana basi mkuu...ni ombi tu
   
Loading...