Mangustino a.k.a mzee wakibajaj afunga mwaka kwa aibu!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mangustino a.k.a mzee wakibajaj afunga mwaka kwa aibu!!!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by KakaKiiza, Dec 31, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Nikiwa baa ya Matutina maeneo ya Mbezi beach(Tanki Bovu) Kaja jimama lakikenya limekuja na driver wake likamwambia mzee wa Kibajaj nataka gari yangu niliyokununulia kwani wewe umeamua kuwa na rozi hadi umempa mimba inaelekea ndo unaye mpenda!!Watu wakabaki sameshika midomo japo usiku lakini kwajinsi alivyokuwa anashout kila mtu kasikia nikawa naona aibu mimi mwenyewe utadhani dhahama hilo limenikuta mimi!!!Kumbe wanamziki wanamilikiwa na mijimama!!!Ila aibu kwao!!!
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  hakyanani Kakakiiza nitajiua juu yako.....
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  preta hulali weye?
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  du kweli hiyo aibu ya kufungia mwaka.
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  anasubiri mwaka mpya!
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  Katavi nimekuwa nikikukosa sana hapa.......ulikuwa wapi....Heri ya Mwaka mpya
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  ni kakakiiza anautesa moyo wangu.......wewe unasubiri kuupindua mwaka sio....nakutakia mapinduzi mema
   
 8. Sware

  Sware Member

  #8
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hee ana Rosi tena hata mm kanidanganya basi uwiiiiiiiiiiiiiii ngoja nirudi Tz sasa!lol
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Heri ya mwaka mpya Preta....majukumu tu ndio yalinificha kidogo!
   
 10. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #10
  Jan 1, 2011
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,813
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  very bad
   
 11. D

  Derimto JF-Expert Member

  #11
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135


  unadhani huku nimepita nakuona hii post? Wala! Mi. Nasoma zingine na wala sijaona wivu

  JIANDAE KURARA KWENYE KOCHI REO
   
 12. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #12
  Jan 2, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Preta mbona unapenda kuanika mambo yetu watu watanipiga bure wana hasira my mpenzi
   
 13. P

  Popompo JF-Expert Member

  #13
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  preta naomba niku PM
   
 14. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Aibu ya nini? Kwani hao wanaotoa magari hawajui kuwa kunawagari nawa machejo?!, ala , yaani wewe unataka mzee mzima azae mtoto anafanana na lucy?, yeye atoe gari aishie.
   
Loading...