Mangula na Kinana wajibikeni wenyewe kabla wana CCM hawajachukua hatua

SUPER PREDATOR

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
2,093
725
Toka nchi hii ipate Uhuru haijawahi kutokea CCM ikapata kipigo cha mtema kuni cha kupata kura chini ya 60% kama ilivyotokea mwaka huu, na haijawahi kutokea CCM kupoteza viti Vingi vya ubunge kama ilivyotokea mwaka huu, kutokana na kipigo hicho cha mtema kuni ruzuku ya CHADEMA itakaribiana sana na ya CCM. Sipendi kuzungumzia ya zanzibari maana nawajua CCM mtachukia.

Najua mtasingizia kuwa kipigo hicho kimetokana na viongozi wengi wa ngazi ya juu ya chama na serikali kuhamia ukawa, najua pia mtasingizia kuwa kipigo hicho kimetokana na upinzani kuanza kujitambua na kuanza kushirikiana, sasa pamoja na hayo yote nyie kama viongozi wa ngazi ya juu ya chama tunawaomba muondoke wenyewe kabla wananchi hatujaamua, na mkumbuke kwamba pamoja na kwamba nipo ukawa lakini ninaweza na nina haki ya kuhamia chama chochote, wakati wowote nikiona inafaa kufanya hivyo.

Kwahiyo ushauri huu muuchukulie kuwa unatoka kwa mwananchi ambaye anaweza kuwa mwanachama wa CCM muda wowote.

Cc; Lizaboni, FaizaFoxy na jingalao - kwa utekelezaji
 
Toka nchi hii ipate Uhuru haijawahi kutokea ccm ikapata kipigo cha mtema kuni cha kupata kura chini ya 60% kama ilivyotokea mwaka huu, na haijawahi kutokea ccm kupoteza viti Vingi vya ubunge kama ilivyotokea mwaka huu, kutokana na kipigo hicho cha mtema kuni ruzuku ya chadema itakaribiana sana na ya ccm. Sipendi kuzungumzia ya zanzibari maana nawajua ccm mtachukia. Najua mtasingizia kuwa kipigo hicho kimetokana na viongozi wengi wa ngazi ya juu ya chama na serikali kuhamia ukawa, najua pia mtasingizia kuwa kipigo hicho kimetokana na upinzani kuanza kujitambua na kuanza kushirikiana, sasa pamoja na hayo yote nyie kama viongozi wa ngazi ya juu ya chama tunawaomba muondoke wenyewe kabla wananchi hatujaamua, na mkumbuke kwamba pamoja na kwamba nipo ukawa lakini ninaweza na Nina haki ya kuhamia chama chochote, wakati wowote nikiona inafaa kufanya hivyo. Kwa hiyo ushauri huu muuchukulie kuwa unatoka kwa mwananchi ambaye anaweza kuwa mwanachama wa ccm muda wowote.

Aaaah unawashwa na mavi na tripu hii chadema mtauana na upinzani utaenda kwa zzk
 
Ccm was about to die, ili kuinusuru ikaitwa team ua akina kinana.

zaidi muulize kikwete enzi anapewa Chama ( Mangula akiwa katibu mkuu). Aliingia ikulu kwa % ngapi na mpaka 2010 alikuwa ana ngapi.

Ccm walah ilipoteana kama sio juhudi za hawa comrades kukinusuru.

I stand to be corrected.
 
Comrade Kanali Abdulrahmaan Omar Kinana na Mzee Philip Japhet Mangula chini ya Maelekezo ya Amiri jeshi Mkuu mstaafu wamepeleka kilio cha kudumu kwa Team Lowassa sasa impliedly wameanza kukubali matokeo wameanza kujiliwaza, hawa ndio waliokuwa wanatuambia tusubiri October 25, 2015 ooh mara Ushindi ungetangazwa kabla ya Misa ya kwanza kuisha, mara watamtimua Jk kwa Maandamano kama ya Gbagbo n.k wewe unaleta Ngonjera wakati bosi wenu kapoteza mabilion ya fedha kwa kuhonga Kila sehemu tangu 1995 alipokataliwa na Mwl Nyerere. Jk alishasema Mwacheni ahonge msimkamate wala kumtisha sasa anaugulia mengi, afya ya Mwili, afya ya Mali na Afya ya Matokeo. Kinana alisema hawezi kushindwa na Mgombea anaemjua kuliko kiganja cha mkono wake mkapuuza.
 
Naamini kile kichaa bado hakijapona kabisa tena naona kinazidi kupanda kichwani kwa kasi kubwa.
 
Ccm was about to die, ili kuinusuru ikaitwa team ua akina kinana.

zaidi muulize kikwete enzi anapewa Chama ( Mangula akiwa katibu mkuu). Aliingia ikulu kwa % ngapi na mpaka 2010 alikuwa ana ngapi.

Ccm walah ilipoteana kama sio juhudi za hawa comrades kukinusuru.

I stand to be corrected.

Na kama magufuli asipofanya kazi ya ziada ccm itakufa natural death
 
Comrade Mangula anatakiwa kupewa nishani ya kitaifa ya kusimamia maadili.

Ni chini ya uongozi huu wa CCM mtandao wa miaka nenda miaka rudi ndani ya ccm ambao pia uliijiingiza kwenye serikali umevunjwa rasmi.

Ni comrade Mangula ambaye hakutishwa na Misafara ya majuha yenye matumaini na buzzword ya mabadiliko kutoka kwa malofa waliotia gia za angani.

Kwa mara ya kwanza ndani ya miongo kadhaa ccm inarudi kuanza kuaminiwa na waadilufu ...kwa mara ya kwanza ccm inatambua kuwa ilijengwa na Jembe(wakulima) na Nyundo(wafanyakazi)

Kwa mara ya kwanza ccm inaibuka mshindi kama taasisi dhidi ya mafisadi.

By the way rais ni JPJM...NA SASA NI #HAPAKAZITU

AMEKATWA HAJAKATWA!????

KUMCHINJA KOBE NI TIMING TU!
 
Mkuu nimekupa nakala kwa ajili ya utekelezaji sio kuwatetea.
 
Na kama magufuli asipofanya kazi ya ziada ccm itakufa natural death

Hahahah! Sasa utamfia Magufuli tena sio jk? Vp ule utabiri kuwa akikatwa Lowassa Dodoma ccm itapasukia pale? Tatizo watu wengi wanaojifanya kuizungumzia ccm wanaijua kupitia Nembo, rangi na kwny mikutano ya hadhara.
 
Comrade Kanali Abdulrahmaan Omar Kinana na Mzee Philip Japhet Mangula chini ya Maelekezo ya Amiri jeshi Mkuu mstaafu wamepeleka kilio cha kudumu kwa Team Lowassa sasa impliedly wameanza kukubali matokeo wameanza kujiliwaza, hawa ndio waliokuwa wanatuambia tusubiri October 25, 2015 ooh mara Ushindi ungetangazwa kabla ya Misa ya kwanza kuisha, mara watamtimua Jk kwa Maandamano kama ya Gbagbo n.k wewe unaleta Ngonjera wakati bosi wenu kapoteza mabilion ya fedha kwa kuhonga Kila sehemu tangu 1995 alipokataliwa na Mwl Nyerere. Jk alishasema Mwacheni ahonge msimkamate wala kumtisha sasa anaugulia mengi, afya ya Mwili, afya ya Mali na Afya ya Matokeo. Kinana alisema hawezi kushindwa na Mgombea anaemjua kuliko kiganja cha mkono wake mkapuuza.
Mimi sijasema muwatetee, nimesema waondoke kwenye chama kwa hiari yao wenyewe kabla sijahamia ccm
 
Hahahah! Sasa utamfia Magufuli tena sio jk? Vp ule utabiri kuwa akikatwa Lowassa Dodoma ccm itapasukia pale? Tatizo watu wengi wanaojifanya kuizungumzia ccm wanaijua kupitia Nembo, rangi na kwny mikutano ya hadhara.

Ila mkuu kubalini ukweli, Lowassa amewazabua kibao cha pua.
 
Back
Top Bottom