Mangula na Kinana - Kejeli zenu kwa Mukama zinaweza kuwaaibisha

Mrengo Hans

Member
Sep 19, 2012
40
52
katika mkutano wa hivi karibuni ambapo timu mpya ya CCM ilifika kwa mara ya kwanza katika ofisi za chama DSM baada ya uchaguzi huko Dodoma, maneno ya mangula na kinana yalionyesha kuwa Mukama alishindwa kufanya kazi ya siasa akaishia kuwa mlipukaji wa mambo na hivyo kumfanya Nape kulemewa.
Mukama ameendelea kusakamwa kuwa amekuwa katibu "Looser" - "Aliyeshindwa" licha ya majigambo ya mukama kuwa amekuwa katibu msomi ukilinganisha na aliyemtangulia.

Majigambo haya yamejaa dhihaka badala ya kujenga.
 
waweza kutuambia walisema kitu gani hasa juu ya mukama? maana umeongea juu juu tu na inaonesha imekaa kimajungu zaidi
 
hahahaaa kama ni wao wenyewe mimi hayo hayanihusu hata kidogo
 
wakumbushe kufagia nyumba yao,ingawa utakuwa umewawashia moto kwani huwa hawana logical reasoning ya kutosha handle haya mambo.
 
Back
Top Bottom