Mangula kawapiga bao wapinzani...

Status
Not open for further replies.

ZeMarcopolo

Platinum Member
May 11, 2008
14,017
7,220
Phillip.jpg
Kwenye Siasa hakuna vitu vinavyotokea tu hivihivi. Kila jambo unaloliona ujue limepangwa.

Katika mazungumzo kati ya Ikulu na viongozi wa vyama vya siasa, Mangula alionekana tofauti kabisa na wengine wote waliohudhuria mkutano huo.

Yapasa kujiuliza kwanini Mangula alikuwa tofauti?

Jibu lake ni kwamba CCM inarudi kwa WATU. Watu wengi vijijini na mijini wanavaa kama jinsi alivyovaa Mangula leo. Kisiasa, mtu wa namna hiyo ni rahisi zaidi kuaminiwa na watu kuliko mtu aliyevaa suti.

Vazi la Mangula limeonyesha mwakilishi wa CCM ni mtu wa kawaida asiye na makuu. Hii picha inatuma ujumbe huo kwa watu.

Siasa ni taaluma. Tukumbushane tu kuwa Mangula alipata kuwa Mkuu wa Chuo Cha Siasa Kigamboni.

Be sure, Mangula anajua anachokifanya...
 
View attachment 116931

Mangula.jpg
Hivi kweli katika kuwaza kwako koote hiki ndio umeona ni cha muhimu ambacho kitasaidi kupatikana kwa Katiba iliyo bora? Mimi nafikiri ulichofanya hapa ni kumdhalilisha Makamu Mwenyekiti wako Mzee Mangula kuwa ni Mshamba aliyepitiliza na hii inajionyesha wazi kuwa alikuwa amechoka mbaya hadi akaonewa huruma na kupewa hicho cheo kama msaada kwake lakini pia ameshindwa kubadirika.
 
yaelekea hujamwangalia Mtatiro, anyway acha niheshimu mtazamo wako
 
Kwa hiyo unataka kutuambia pia na JK haaminiki Simply bcoz kavaa suti.
Huu ni zaid ya Upuuzi kwa kweli...
 
Marco,
Mangula uzee unamnyemelea vibaya. Yani huo mtoko hajaeleweka anawakilisha kundi gani kwa zama zipi. Wazee bushi hawavai raba mkuu,angepiga kaunda suti kuukuu angeeleweka.
Sasa unaposema anarudisha chama kwa wananchi basi mzee kapishana na zama,maana kama ni ccm ile ya ujamaa na kujitegemea watu hawakuvaa raba kwa staili hiyo.
Mzee kachemka tu na wajanja wenye uthubutu watakuwa wamemnononeza.
 
umebugi meeen, mi naona ameidharaulisha zaidi ccm yao.
 
Kweli Tanzania imechoka na watu Wake pia sasa mtu huyu anayejiita Zemacopolo yaani katika akili zake aote hapo ndio zimefikia ukingoni Kwa kufikiria na kuandika huu upuuzi lol kweli ukishabikia CCM lazima Uwe na akili za maiti
 
View attachment 116932
Hivi kweli katika kuwaza kwako koote hiki ndio umeona ni cha muhimu ambacho kitasaidi kupatikana kwa Katiba iliyo bora? Mimi nafikiri ulichofanya hapa ni kumdhalilisha Makamu Mwenyekiti wako Mzee Mangula kuwa ni Mshamba aliyepitiliza na hii inajionyesha wazi kuwa alikuwa amechoka mbaya hadi akaonewa huruma na kupewa hicho cheo kama msaada kwake lakini pia ameshindwa kubadirika.

Huo ushammba unaousema hapo ndio lengo kuu la Mangula.

Kwahiyo hapo amefanikiwa.
 
Marco,
Mangula uzee unamnyemelea vibaya. Yani huo mtoko hajaeleweka anawakilisha kundi gani kwa zama zipi. Wazee bushi hawavai raba mkuu,angepiga kaunda suti kuukuu angeeleweka.
Sasa unaposema anarudisha chama kwa wananchi basi mzee kapishana na zama,maana kama ni ccm ile ya ujamaa na kujitegemea watu hawakuvaa raba kwa staili hiyo.
Mzee kachemka tu na wajanja wenye uthubutu watakuwa wamemnononeza.

Nenda vijijini ukaone mavazi yalivyo...
 
Asilimia Zaid ya 75% ya wachangiaji wa thread zinazozungumzia Mkutano wa Jk na Wapinzani wanazungumzia Vazi la Mangula, wengine appearance za washiriki kama vile Jk kusalimiana na Lissu au Uwepo wa Wassira. Halafu bado tunajiaminisha eti sie ndo Great thinker wa Taifa, Sijui tungekaribisha Vilaza wa Taifa wangecomment vipi togauti na sie maGeneus wao!
 
Unataka kupigwa BAN?

Chunga mdomo wako...
 
View attachment 116931
Kwenye Siasa hakuna vitu vinavyotokea tu hivihivi. Kila jambo unaloliona ujue limepangwa.

Katika mazungumzo kati ya Ikulu na viongozi wa vyama vya siasa, Mangula alionekana tofauti kabisa na wengine wote waliohudhuria mkutano huo.

Yapasa kujiuliza kwanini Mangula alikuwa tofauti?

Jibu lake ni kwamba CCM inarudi kwa WATU. Watu wengi vijijini na mijini wanavaa kama jinsi alivyovaa Mangula leo. Kisiasa, mtu wa namna hiyo ni rahisi zaidi kuaminiwa na watu kuliko mtu aliyevaa suti.

Vazi la Mangula limeonyesha mwakilishi wa CCM ni mtu wa kawaida asiye na makuu. Hii picha inatuma ujumbe huo kwa watu.

Siasa ni taaluma. Tukumbushane tu kuwa Mangula alipata kuwa Mkuu wa Chuo Cha Siasa Kigamboni.

Be sure, Mangula anajua anachokifanya...
Zemarcopolo usikurukupe na watu wengine hatukurupuki,mangula sio fisadi na CCM hawakuwa wajinga kumrudisha pale ama kuweka sura yake tena katika chama,
 
Mkuu wa chuo alikuwa hayati Dr. Bismack Mwansasu, Philip Mangula (a.k.a. sungusungu) alikuwa makamu
Mkuu wa Chuo cha CCM Kivukoni
 
Eti Mangula anajua anachokifanya.

ZeMarcopolo Mangula anajua anachokifanya kwa wizi wenu tu wa ufisadi!

Ufisadi mtupu!

Mavazi hayo itawagharimu kudadekii!
 
Last edited by a moderator:
Zemarcopolo usikurukupe na watu wengine hatukurupuki,mangula sio fisadi na CCM hawakuwa wajinga kumrudisha pale ama kuweka sura yake tena katika chama,

Mangula hapo anaiwakilisha CCM. Na kama unavyomuona amewapiga bao wapinzania, he looks more authentic...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom