Mangi aamua kupiga kiberiti nyumba yake mara baada ya kubaini mke anasaliti penzi lao

i lobe you,

i hate you,

then i love you

then i hate you, ooohhh!
 
kwa tukio la ufoo saro, mauaji ya ilala na hili hapa nimeamini wachaga wanajua kupenda.
 
Kwa nini ajidhuru Mwenyewe?
1) Dawa ya matatizo haya ni kuhakikisha kwanza kwa kushuhudia kitendo hicho cha Zinaa kwa macho yako kisha mpe talaka yake mzinifu huyo.
Hakikisha kwanza kabla ya kutoa talaka kwamba kweli anazini nje ya ndoa (inaweza kuwa shetani tu anakutanganya katika mawazo yako)
Ukihakikisha kwa macho yako kama kweli anazini hapo ndio mpe talaka yake.
2) Kisha owa mwingine mwenye kujiheshimu na mwenye kuheshimu familia yake (wanawake wema wapo wengi tu).

Ustadhi uposahihi kabisa lakini huyu Mchagga huenda ana ndoa na hii ilikuw nyumba ndogo
sasa kazidiwa wanamgongea kila siku na kulala
sasa kaamua wakose wote ili huyo Mwanamke akahamie kwa huyo bwana

ngoja Money Stunna arudi tena huenda ana undani maana Wachagga wengi ni Ndoa moja (ya Kanisani)
 
Last edited by a moderator:
Songea alianza kurudi Dkt. Remmy so my dear semeki hutokuwa wa kwanza kurudi maji maji ati….
By the way iko shida mahali Fulani…..hii kuchelewa kuingia kwenye hii kitu hii…. inatugharimu aisee….

NDO MUWE MNAPEANA pre form one!
tukiwapa marutundu kidogo tu siku hiz mkitukuta tunapiga sitory tu panga,sms kwenye simu bintola,tetesi tu nyumba zinakuwa majivu!
Chaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sasa MPANGO MZIMA kwa wajengezi wenzangu woooote walioolewa uchagani
TUNARUDI ENZI ZA UKIMALIZA FUNIKA MI NASOMA BEI ZA KAHAWA KAMA SIMEONGESEKA MSIMU HUU!
enh manake marutamu ya kupelekewa maji bafuni na kuwekwa naniiihii kwenye kisosi huku mnaimbiwa twarab ndo yanawafikisha hap asseee
nani sasa anataka kudedishwa yeye na ukoo mzima?
 
muke ya mangi snowhite karibu machalari aiseee,kisusio inapanda? au umezoea pitiku na ugali wa unga wa muhogo kile songea, bombiiiii nyumbiiiii

ujue mangi mpka kuja kuoa bombii hii nyumbii hii ujue amehakikisha assimilation imefanyika kwa kiasi kikubwa sana
yani hapa napika kitalasa,natengenesa mbekhe,nakula mashalaliii,nakatia mbusi majani,naotesha saale nyumbani,nafagilia mengele inakuwa safi kabsaaa yani hakuna kitu naacha kufaaanya
chaaaaaa!
 
Ustadhi uposahihi kabisa lakini huyu Mchagga huenda ana ndoa na hii ilikuw nyumba ndogo
sasa kazidiwa wanamgongea kila siku na kulala
sasa kaamua wakose wote ili huyo Mwanamke akahamie kwa huyo bwana

ngoja Money Stunna arudi tena huenda ana undani maana Wachagga wengi ni Ndoa moja (ya Kanisani)

uyo ni mke wake kabisa wa ndoa na wana watoto
 

amen...

wacha dada wa watu ale pesa sasa!

DSC_0531.JPG
 
Huyu ndugu yangu hakuwa na Bereta, vinginevyo angeleta muadhara kama ya kina Munisi

Kwa mwendo huu jamaa zangu wa Moshi (wa kabila la akina Munisi) inabidi upewaji wa vibali vya kumili silaha uwekewe masharti tofauti na yale ya waombaji wengine.....Nashauri muongezewe pia na test ya Mirembe hospital kuangalia kiwango cha ukichaa wa muombaji!
 
Kwa mwendo huu jamaa zangu wa Moshi (wa kabila la akina Munisi) inabidi upewaji wa vibali vya kumili silaha uwekewe masharti tofauti na yale ya waombaji wengine.....Nashauri muongezewe pia na test ya Mirembe hospital kuangalia kiwango cha ukichaa wa muombaji!
pesa siku hizi inapatikana kwa shida sana, nashangaa kumwona mchagga anayefagilia mapenzi kuliko pesa. huyu kazaliwa pwani huyu. wenzake wameacha wake zao moshi mgombani wamekuja mjini kutafuta pesa.
 
Dah, ma bwashee nao vp? Mbona mapenzi yana wa-drive crazy sana? Mara Mushi, mara Munissi, wote hawa wameua na kujiua kwa ajili ya mapenzi! Lol, nifanye mpango wa kukapiga chini kale kademu kangu ka-kichagga, kasije kakanizulia tafrani bure!

mkuu ukiangalia kiundani utaona kuwa sio mapenzi ndiyo yanayowa-drive crazy, ni zile gharama wanazoingia kwa hao wanawake ndio zinawa drive crazy. Jamaa wanathamini sana pesa yao, na usirogwe ukacheza na pesa yao, watakuchinja. Hawa wanawake wa mjini hawajui ni jinsi gani mchaga anavyohesabu kila pesa anayoitumia, wana take easy, hawajui wachaga wana sacrifice kiasi gani kwenye kutafuta hizo pesa. Matokeo yake ndio hayo.
 
Jamani MANGI mmekuaje?mmeacha kutafuta pesa mnavamia mapenzi shauri zenu,mapenzi yana wenyewe.
 
Back
Top Bottom