Wanawake LIVE: Mange Kimambi azungumzia maisha yake binafsi, mipango na ndoto ya kuolewa na mzungu

Form six kuna somo tulisoma linaitwa GS kuna mambo tulijifunza katika maswala yanayohusu speech na public speaking
1.Avoid ambigous mannerism
eg kujikuna yl unaongea na vitu vinavyofanan na hvyo

2.Repetion ya words eg kwa mange yani yani yani yani yani mi sipublish comment yani yani yani walizotukana yani yani yani yani nasoma comments yani yani zaidi ya 500 yani yani kwa siku

yani yani yani umemsikiliza vizuri yani yani blog yani yani yani wanamtukana yani obama
 
Huyu mange km j**i sura yake nahic huyu babu kizee wake hamuoni vizuri na kukaa kuanza kuponda kaka zake yule kiria alo muoa ana kazi kwelikweli
 
Devotha aliongea taratibu na vizuri.

Mange kubanwa kuhusu blog kapanic kabisa
 
Ana kigugumizi thats why anarudia maneno!but sidhani kama nia yake ilikuwa ni kujitangaza.kile ni kipindi kama vilivyo vingine na yale aliyoyaongelea ni maisha yake!so sidhani kama kuna tatizo!kila mtu anaishi apendavyo ilimradi asiharibu maisha ya mwingine!i believe thats is the way she is.
 
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Yaani yaani yaani elimu bla bla bla! mwenyewe hasound kama hiyo elimu..... yaani yaani yaani etc. Wapambe wanamdanganya wenyewe wanaendelea na maisha kutwa nzima kujitangaza. Huduma kwa jamii sio kila mtu anaweza jamani hizi Foundation mnaanzisha ni kutaka kuwaibia tu watu Foundation Foundation kumbe ATTENTION.COM
 
Naye Devotha Dandu kha sorry sijui mzungu wake anaitwaje ngoja nitumie Devotha dandu,du huyu dada anajimaintain kweli yani yupo vile vile tangie nimuone kwenye video ya lady jaydee usiusemee moyo safi sana devotha
She is nobody!
 
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Yaani yaani yaani elimu bla bla bla! mwenyewe hasound kama hiyo elimu..... yaani yaani yaani etc. Wapambe wanamdanganya wenyewe wanaendelea na maisha kutwa nzima kujitangaza. Huduma kwa jamii sio kila mtu anaweza jamani hizi Foundation mnaanzisha ni kutaka kuwaibia tu watu Foundation Foundation kumbe ATTENTION.COM

Nilijua ni mimi peke yangu nilio note hiko kitu....nashukuru. Lakini on another note...ndio nia zao wanazijua wenyewe but at that moment, msaada unafika hivo basi tunashukuru kwa hilo.
 
Joyce Kiria anafaa kuendesha vipindi vya taarab kipindi kama kile cha kina mama, hakiwezi kwasabab mama ndo muangalizi wa familia ni lazima awe na elimu ya kutosha ya kuweza kufafanunua mambo...SASA JOYCE KIRIA NASIKIA AMEISHIA DARASA LA 7 kweli atakuwa na ufahamu mzuri wakufafanua mambo hasa akitkutana na wasomi kama kina mange??..hataweza kwahiyo kinachobaki anakuwa anawakatiza point wageni anao waalika...ILA ALICHONISHANGAZA ZAIDI JOYCE NI PALE ALIPOSEMA ELIMU HAINA MSINGI WOWOTE KATIKA MAISHA...HAPO NIMEMPINGA...
 
Back
Top Bottom