Mange Kimambi yupo obsessed na Diamond na familia yake kwa ujumla

Ange invest kimya kimya na sio kuchamba watu. Mbona angefika mbali tuu yy akaanza kuleta nyodo ninyodoe
Alidhani dai hapindui kwake. .... Ila kilichomkuta hata madale hawezi kwenda hahahahaha
Tulimsikiliza tu kwenye speech ya marehemu Ivan "eti I moved on but he didn't " hahahaha cjui anajihisigi nani huyu demu
 
Huyu Dada sikuhuzi sijui amekuwaje dakika 2 anaitukuana familia ya msanii Diamond platnumz baada ya muda kidogo anasema anamtaka Diamond kimapenzi yaani anaonekana Yuko obsessed na Diamond
Either Diamond Amefanya Jambo zuri au baya yeye anatukana tu.
Kipindi anafanya harakati za siasa nilikuwa naona kama anajenga hoja Kama mtu mwenye utimamu lakini kwa sasa dishi channel zimekata
Nawakumbusha tu amebakiza siku 25 tu - Sheikh Mkuu wa Dar Alhad
 
Huyu Dada sikuhuzi sijui amekuwaje dakika 2 anaitukuana familia ya msanii Diamond platnumz baada ya muda kidogo anasema anamtaka Diamond kimapenzi yaani anaonekana Yuko obsessed na Diamond
Either Diamond Amefanya Jambo zuri au baya yeye anatukana tu.
Kipindi anafanya harakati za siasa nilikuwa naona kama anajenga hoja Kama mtu mwenye utimamu lakini kwa sasa dishi channel zimekata
Wewe ndio dishi limeyumba yani huwezi kujua hata MTU akiwa anafanya utani. Mange akiwa anasema anamtaka Mond huwa anatania..
 
Wewe ndio dishi limeyumba yani huwezi kujua hata MTU akiwa anafanya utani. Mange akiwa anasema anamtaka Mond huwa anatania..
Utani unakuwaga Mara moja ila ukiona mtu anarudia rudia ujue anafikisha ujumbe
Akili kubwa tunaelewa ,we unashani diamond akosee aombe mzigo atakataa
 
Timu zari mnaumwa utumbo. Uoni tukinao anavyomtukana mange? Sasa mange kajibu mmerefuka midomoooo, dawa ya moto ni moto
 
Da Mange,pls hide my ID:D,na kuna viongozi na wanachama wa ufipa walikuwa wakimshangilia,teh!
 
Umbea achia kina mama wewe wa wapi ww?? Ukweli upi sasa kuna anaejua ukweli zaidi ya alieutoa mdomoni mwake?? Nyie wengine ni kuongeza au kupunguza chumvi.
Wanwake tunajidharaulisha sana,kwa hiyo sisi ndo wambeya sana,,wanaume siku hizi ndo wambeya sasa
 
Eti ndio huyu angenishawishi niandamane hahah,thubutuuuuu
Utashawishiwa kuandamana na MATATIZO yako wala siyo MANGE KIMAMBI, ni suala la muda tu.

Kwa sasa JIWE kakaba mpaka mnaishi kama digi digi, mmebakiza kuimba ASIFIWE JIWE ASIFIWE huko MAKANISANI na MISIKITINI.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Back
Top Bottom